HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
March 2, 2018
HATUA YA 304: Usipoacha Tabia Hii..
Wakati unaendelea kulalamika na kutoa sababu nyingi za kujitetea kwa hali uliyonayo sasa hivi: Bado una muda mwingi wa kutumia simu yako kuperuzi kila kinachoendelea…
-
February 24, 2018
HATUA YA 302: Jinsi Unavyopoteza Nguvu Zako Bila Ya Wewe Kujua.
Katika Maisha kuna mambo mengi sana tunafanya kila siku mengine ni kutokana na mazoea yetu na mengine ni yale ambayo tunapanga kufanya. Katika mambo ambayo yanaweza…
-
February 22, 2018
HATUA YA 301: Ukiweza Kuvumilia hiki Lazima Utimize Ndoto yako.
“If you don’t quit, and don’t cheat, and don’t run home when trouble arrives, you can only win.” – Shelley Long Zinapofika nyakati za matat…
-
February 20, 2018
HATUA YA 300: Hiki Ndio Kiwango cha Udhaifu Wako.
Ukiona mtu anatumia nguvu kubwa kupambana na mtu asiye na nguvu hata nusu yake basi ujue mtu huyu ni dhaifu kuliko yule anaejaribu kupambana nae. Huwezi…
-
February 18, 2018
HATUA YA 299: Kama Unafanya Hivi Umeshatoka Nje ya Kusudi.
Ikifika mahali kila unachokifanya hutaki kusikiliza wengine, kushauriwa wala kukosolewa ujue kwamba unalolifanya umeshapotea njia. Hii ni kwasababu karibu kila tunalolifanya h…
-
February 17, 2018
HATUA YA 298: Uaminifu Huu Umezidi Yote.
Wakati ambao hakuna mtu wa kukufuatilia wala kukupangia cha kufanya ndio tunaweza kujua ufanyaji wako wa kazi ukoje. Ile bidi utakayoionyesha kwenye kazi na hakuna mtu…
-
February 16, 2018
HATUA YA 297: Kuwa Mjinga, Kisha Jiamini.
“All you need in this life is ignorance and confidence; then success is sure.” ― Mark Twain Samuel Langhorne Clemens ambaye anajulikana zaidi kwa jina la Mark…
-
February 15, 2018
HATUA YA 296: Vile Unavyofikiri Juu ya Vitu Ndio Inaamua Furaha au Huzuni.
Very little is needed to make a happy life; it is all within yourself, in your way of thinking. -Marcus Aurelius. Mwanafalsafa huyu anatuambia ni vitu…
-
February 14, 2018
HATUA YA 295: Hakuna Chenye Thamani Kinachopatikana Bila..
I never did anything worth doing by accident, nor did any of my inventions come by accident; they came by work. Plato Sijafanya kitu chochote kilicho…
-
February 13, 2018
HATUA YA 294: Unaposhindwa Jambo Unagundua Hiki..
Sometimes by losing a battle you find a new way to win the war. Donald Trump. Kwenye moja ya vitabu vya Rais wa Marekani Donald Trump…
-
February 12, 2018
HATUA YA 293: Ulichonacho Sasa Ulishawahi Kutamani Kuwa Nacho.
Do not spoil what you have by desiring what you have not; remember that what you now have was once among the things you only hoped…
-
February 9, 2018
HATUA YA 292: Ni Rahisi Sana Lakini…
Ni rahisi sana kulalamika Maisha ni magumu, Ni rahisi sana kutoa sababu nyingi zilizofanya ushindwe, Ni rahisi sana kuendelea kuishi Maisha yale yale uliyoyazoea, Ni rahisi…
