MBINU ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
December 18, 2019
512; Mimi Ni Mtenda Dhambi Kuliko Wewe.
Siku Moja nilikuwa nawaza hivi, “Siku Nikifa Nikakuta hakuna Mungu Nitacheka Sana”, Sauti nyingine ndani yako Ikasema, “Hapo Utakapokuwa Unachekea ni Nani Huyo Atakuwa Amekute…
-
July 16, 2019
MBINU ZA KUKUZA BIASHARA YAKO KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM
Habari nimekuwekea video mpya kwenye youtube inayoelezea mbinu za kukuza biashara yako kwenye mtandao wa Instagram, tazama, jifunze na usisahau ku subscribe.
-
May 20, 2019
489; Hizi Ndio Fikra Zinazokufanya Usiendelee Kwenye Maisha.
Ndani ya jiji lenye watu wengi kuliko miji mingine ndani ya Tanzania jiji la Dar es Salaam, kumekuwa na changamoto kubwa sana ya Usafiri. Hivyo basi…
-
February 5, 2019
SURA YA 440: Usichanganye na Maji.
Miaka kama 10 iliyopita Kulikuwa na bibi mmoja kijijini kwetu alikuwa anauza maziwa fresh. Maziwa yake yalikuwa ni matamu sana na pia masafi hivyo kusababisha watu…
-
January 3, 2019
SURA YA 428; Ukitegemea Hiki Pekee Utachoka Haraka.
Mwanadamu pekee aliekuwa na akili sana kuliko wanadamu wengine ni Adamu na yeye alipewa uwezo huo kwasababu alikuwa peke yake. Hivyo kwa akili na uwezo aliokuwa…
-
January 2, 2019
SURA YA 427; Njia Rahisi ya Kuwavuta Watu Sahihi Kwako.
Tupo kwenye dunia ambayo ni ngumu sana kumjua mtu kwasababu wengi wamevaa mavazi yanayofunika uhalisia wao. Wamevaa tabia za kuigiza ambazo sio za kweli na wala…
-
January 1, 2019
SURA YA 426; Hii Ndio Sababu Ya Wewe Kuanza Vizuri na Kumaliza Vibaya.
Hongera sana kwa kuona mwaka mpya, nafurahi pia kuona umesoma Makala hii kwa mara ya kwanza kwa mwaka 2019. Nimekuwa nahudhuria mikesha na matamasha ya kuingia…
-
December 28, 2018
TUSEMEZANE 424; Ukimpata Usikubali Aondoke.
Katika Maisha tunakutana na watu wa aina mbalimbali wanaweza kuwa wabaya kwetu na wengine huwa baraka kubwa sana kwenye Maisha yetu. Unaweza kukutana na mtu wa…
-
December 26, 2018
NGUVU MPYA 423; Usikae Hapo Muda Mrefu Sana.
Unaweza kufanya mambo makubwa kwenye Maisha yako na ukashindwa kusogea mbele tena kwasababu moja ya kulewa na yale matokeo. Jambo ambalo tayari umeshalifanya na ukashinda hali…
-
December 25, 2018
NGUVU MPYA 422; Eneza Habari Njema.
Watu wamekuwa ni mashujaa sana wa kueneza habari mbaya kuhusu wengine, imekuwa ni desturi yetu pia kutoa vipaumbele Zaidi kwenye habari mbaya kuliko njema. Wafuatiliaji wa…
-
December 22, 2018
NGUVU MPYA 421; Aibu Ya Makosa Uliyokwisha Kuyafanya…
Katika Maisha mwanadamu anapitia mambo mbalimbali sana, kuna mengi mtu unakuwa umeyafanya mengine ni ya aibu sana. Kikawaida mambo haya yanaweza kuwa kikwazo kikubwa kwa wewe…
-
December 22, 2018
NGUVU MPYA 420; Unahitaji Vitu Hivi 3 Uwe na Maisha Yenye Furaha.
Maisha yanajengwa kwa misingi, Maisha mabovu yamejengwa kwenye msingi mbovu, Maisha bora yamejengwa kwenye msingi imara na bora. Ifahamu misingi ya Maisha unayoyataka na kisha…
