KONA YA BIASHARA
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
March 18, 2019
Pata GREENHOUSE Kwa bei ya OFa
Kwa mwezi huu wa March na April tunatoa OFA ya Punguzo la ujenzi wa Greenhouse. Ni punguzo la gharama ya ya ujenzi wa Greenhouse. Punguzo la…
-
February 5, 2019
SURA YA 440: Usichanganye na Maji.
Miaka kama 10 iliyopita Kulikuwa na bibi mmoja kijijini kwetu alikuwa anauza maziwa fresh. Maziwa yake yalikuwa ni matamu sana na pia masafi hivyo kusababisha watu…
-
May 4, 2018
KONA YA BIASHARA: Faida za Kuwa na Maono Kwenye Biashara Yako
Pasipo maono kwenye biashara yeyote watu wengi huishia njiani. Kama hakuna unapotaka kufika utakuwa unaridhika na kile unachokipata kila siku. Kama huna maono huwezi kuwa na…
-
April 16, 2018
#KONA YA BIASHARA: Unachoweza Kufanya Ni Kipi?
Unaweza kuwa na sababu za kila aina zinazoelezea kwanini hadi sasa huna unachokifanya au hujamiliki biashara yako. Swali langu kwako litakuwa ni unachoweza kufanya ni kipi?…
-
February 13, 2018
KONA YA BIASHARA: Yajue Mapungufu Yako.
Ni vyema kwa kila mmoja akaweza kutambua ni wapi ana mapungufu na kuyafanyia kazi kabla hayajaleta madhara kwenye kazi. Kila binadamu ana mapungufu yake ndio maana…
-
February 12, 2018
KONA YA BIASHARA: Ukipoteza Hii Inakuja Nyingine.
Kuna nyakati kwenye Maisha unaweza kujiona umepoteza vitu vikubwa sana na ukaanza kuona kama Maisha hayana maana tena. Unachopaswa kutambua ni kwamba kila kinapoondoka kitu ba…
-
February 7, 2018
KONA YA BIASHARA: Lijue Dhumuni La Biashara Yako.
Kama jinsi kulivyo na magari ya abiria, mizigo na binasfi vile vile biashara zipo kwa madhumuni ya aina mbalimbali. Ni vyema wewe kama mfanyabiashara ukalijua dhumuni…
-
December 5, 2017
KONA YA BIASHARA: Hiki Ndio Sababu ya wewe Kuanguka Kibiashara
Kinachoshangaza sana kwa biashara nyingi za kwetu ni kwamba wamiliki au walioajiriwa kwenye biashara ndio wanaongoza kwa kudharau, kuongea vibaya na wateja wao. Mteja anapoamu…
-
November 21, 2017
KONA YA BIASHARA: JINSI YA KUPATA MTAJI NA KUANZA BIASHARA YAKO
Kuna mambo machache unatakiwa ujiulize Je eti ni kweli mwaka ujao utakuwa mpya kwako au ni zile kelele tu na hamasa? Una kitu gani unakitegemea kukipata…
-
November 2, 2017
KONA YA BIASHARA: TABIA ZA KUKUWEZESHA KUFIKIA MAFANIKIO NA BIASHARA YAKO
Mwaka ndio huoo unakwisha umefikia wapi na malengo yako? Yaani ndio hivyo mwaka unaishaga ni sekunde moja inacheza na kutengeneza dakika na dakika nayo inakwenda hadi…
-
October 24, 2017
KONA YA BIASHARA: Unaona Nini?
Chochote unachokifanya sasa hivi kwenye biashara yako lazima kiwe kinafuata ile picha kubwa uliyokuwa unaijenga wakati unaanza. Usikubali kutoka nje ya picha ile hata kama mam…
-
October 18, 2017
KONA YA BIASHARA: Sababu za Kudumu na Sababu za Msimu.
Nimekuwa nakutana na watu wengi wanatamani sana kuingia kwenye biashara ukija kuwauliza ni kitu gani hasa kinawasukumu waingie watakwambia kuna matatizo Fulani wanataka wayata…
