HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
October 14, 2025
USIPOCHUKUA HATUA, WENGINE WATAICHUKUA
Mwaka 2016/17 nikiwa Arusha, mimi na rafiki yangu tulipata wazo kubwa: kutengeneza app au mfumo wa kusaidia watu kukata tiketi za mabasi mtandaoni, mkoa kwa mkoa.…
-
April 5, 2021
535: Yanapokuja Usiyoyatarajia…
Weka Email Yako Hapa Upokee Makala Kama Hizi Kwenye maisha yetu ya kila siku kuna mambo mengi hutokea na kwa namna moja au nyingine mambo haya…
-
December 17, 2019
511; Unakimbilia Wapi? Tazama Pembeni Yako.
Haya Ndio Maisha yetu kwenye vitu vingi tunavyopitia kila siku, Soma kisa hiki ujifunze: “Habari kaka Jacob, ninaomba ushauri wako kuhusu hili. Ni mwaka wa tatu…
-
December 18, 2018
417; Ukianzia Juu Utashuka Chini.
Mojawapo ya vitu ambavyo huanza juu havipendezi sana na sio vizuri mfano wa haraka ni shimo. Shimo linachimbwa kwa kuanzia juu kwenda chini na shimo linaweza…
-
October 6, 2018
HATUA YA 396: Usifanye kwa Kwa Ajili Yako.
Penda kuwaweka wengine mbele kwanza ndio utaweza kufurahia kile unachokifanya. Unataka kununua gari, Sema napambana ninunue gari ili niwahamasishe wengine kuwa inawezekana ” C…
-
October 6, 2018
HATUA YA 395: Upo Tayari Kufanya Hata Kama Hujisiikii Kufanya?
Watu waliofanikiwa wanaendelea kufanikiwa kwasababu wapo tayari kufanya hata yale ambayo hawajisikii kufanya. Unajua kuna vitu unatakiwa kuvifanya halafu mwili unakuwa umechok…
-
October 3, 2018
HATUA YA 394: Kama Hutengenezi Maadui….
Ni kweli hutakiwi kufanya kutafuta maadui kwasababu haina maana yeyote, ila katika safari ya mafanikio huwezi kuepuka kuwa na maadui. Kuna watu watakuchukia tu bila sababu…
-
October 2, 2018
HATUA YA 393: Yeyote Anaejaribu Kukuzuia…
Ukiona kuna mtu ana muda mwingi sana wa kufuatilia unachokifanya na siku zote anakuja na mawazo hasi tu na wala hujamwajiri afanye hivyo basi ujue tu…
-
October 1, 2018
HATUA YA 392: Una Uwezo wa Kudhibiti.
Imekuwa ni kawaida kusikia watu wanalalamika wameumizwa kihisia, na wanasema hawatakaa wapende tena. Imekuwa ni kawaida pia kuona watu wakilalamikia mambo mbalimbali ambayo wa…
-
October 1, 2018
HATUA YA 391: Kwanini Uamke Asubuhi na Mapema?
Wakati wa Asubuhi Ndio wakati ambapo watu wengi wenye mafanikio huanza siku zao. Wengi wanaamka mapema ila sio kwasababu ndoto zao zinawasukuma, wengine wanawahi kuamka kwasab…
-
September 28, 2018
HATUA YA 390: Kumbuka Kitu Hiki Pale Wengine Wanapokukatia Tamaa.
Siku moja nilikutana na kijana mmoja anaitwa Baraka ambaye alikuwa na changamoto ya kukatiwa tamaa yaani kuchokwa na watu wa karibu yake kama wazazi, mpenzi wake…
-
September 28, 2018
HATUA YA 389: KWANINI UNATAKIWA UMJENGEE MWANAO MTAZAMO HUU?
“Kile Unachokijua Kinakuathiri Sana Kuliko Unavyofikiri.” Nilipokuwa mdogo mtu mwenye mafanikio sana niliekuwa na mfahamu alikuwa anafanya kazi ya udereva. Hivyo nikawa nikiam…
