USIISHIE NJIANI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
June 2, 2020
Mafanikio ni Mchakato.
Nilipokua sekondari tulitumia barabara mbaya sana kuelekea shuleni kitu kilichofanya safari iwe ya kuchosha sana na yenye kuchukua muda mrefu sana.Kipindi hicho barabara nzuri…
-
June 2, 2020
Haijalishi Umezaliwa Wapi, Maisha ni Zawadi.
Katika maisha haya kamwe usimlaumu mtu yeyote kwasababu ya kushindwa kwako au kufeli kwako jambo fulani, kwasababu kulaumu hakuibadilishi hali bali kunatengeneza tatizo lingin…
-
May 21, 2020
531; Ni Hatua Ndogo Ndogo.
Kinachoangusha mtu sio shoka moja lilipigwa kwa nguvu bali ni mkusanyiko wa kukatwa kidogo kidogo hadi mti unafikia hatua unakuwa umeanguka. Yale mambo makubwa unayotaka kuyaf…
-
May 18, 2020
530; Unavyovihofia Vingi Havipo Kwenye Uhalisia.
Habari ya siku rafiki, pole kwa changamoto ya Ugonjwa huu wa COVID-19. Nakutia Moyo usiogope tunakwenda kuvuka pamoja. Kila kitu hutengenezwa kuanzia kwenye akili zetu. Furaha…
-
April 9, 2020
529; HEKIMA: Ongeza Viwango Vyako Vya Kufikiri.
Habari Rafiki yangu, leo ni siku ya pekee sana kwangu, kwani ndio siku nilizaliwa, naikumbuka hii tarehe na ninafurahi pamoja nawe. Nimekuandikia Makala hii uifurahie pamoja…
-
February 20, 2020
527; HEKIMA: Kinyozi Anapokosea Kukunyoa.
Kinyozi anapokosea kukunyoa bila kujali amekosea kiasi gani siku zote baada ya muda Fulani nywele huota tena na utaweza kunyoa vile unavyotaka. Unapopoteza fedha haijalishi ni…
-
February 13, 2020
526; HEKIMA: Sumu Niliyowekewa Kwenye Chakula.
“Ilikuwa ni siku za mwisho wa mwaka ambapo tulikuwa na utaratibu wa kwenda kuwasalimia ndugu na jamaa ambao hatujawaona miaka mingi. Katika kuwatembelea ndugu jamaa na…
-
January 29, 2020
523; HEKIMA: Uzima Ni Fursa
Kuna mtu yupo hospitali anamlilia Mungu ampe uzima ulionao, halafu wewe ni mzima na unakata tamaa. Jacob Mushi Unapotaka kukata tamaa kumbuka kwamba kuna watu ambao…
-
January 27, 2020
522; HEKIMA: Kabla Hujakata Tamaa
Jaribu Tena, ndio nasema jaribu tena bila kujalisha umeshajaribu mara ngapi. Jaribu tena ukiwa na uhakika kwamba kuna jipya ulilojifunza kichwani kwako. Jaribu tena bila ya…
-
January 3, 2019
SURA YA 428; Ukitegemea Hiki Pekee Utachoka Haraka.
Mwanadamu pekee aliekuwa na akili sana kuliko wanadamu wengine ni Adamu na yeye alipewa uwezo huo kwasababu alikuwa peke yake. Hivyo kwa akili na uwezo aliokuwa…
-
January 2, 2019
SURA YA 427; Njia Rahisi ya Kuwavuta Watu Sahihi Kwako.
Tupo kwenye dunia ambayo ni ngumu sana kumjua mtu kwasababu wengi wamevaa mavazi yanayofunika uhalisia wao. Wamevaa tabia za kuigiza ambazo sio za kweli na wala…
-
December 19, 2018
418; Fanya Kitu Hiki Muhimu Siku Chache Zilizobakia Mwaka Huu.
Pamoja na kwamba inawezekana unaona kama mwaka huu mambo hayajaenda sawa kabisa na malengo mengi hayajatimia bado una nafasi ya kumaliza mwaka vizuri sana. Kuna mambo…
