MAFANIKIO MAKUBWA
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
February 7, 2020
525; HEKIMA: Ni Wewe.
Ni wewe utawajibika pale unapoingia kwenye matatizo bila kujali ni nani aliyeyasababisha. Ni wewe utatakiwa kuchukua hatua pale mambo yanapokuwa magumu kwasababu ya uzembe una…
-
December 18, 2019
512; Mimi Ni Mtenda Dhambi Kuliko Wewe.
Siku Moja nilikuwa nawaza hivi, “Siku Nikifa Nikakuta hakuna Mungu Nitacheka Sana”, Sauti nyingine ndani yako Ikasema, “Hapo Utakapokuwa Unachekea ni Nani Huyo Atakuwa Amekute…
-
September 19, 2019
VIDEO: Mambo 4 ya Kufanya Unapoamka Asubuhi.
Usiache Ku Subscribe ili ujifunze kwa video nyingine zaidi.
-
July 31, 2019
501; Kutafuta Samaki Msituni.
Jaribu kuvuta picha upo katikati ya msitu, unatafuta samaki. Umejipanga kila kitu unacho, una chambo za kutosha, una vifaa vya kubebea na pia una hamasa na…
-
July 30, 2019
500; Ikatokea Umesahau Kila Kitu.
Jiunge na Mtandao Huu Uwe Unapokea makala nzuri kama hii moja kwa moja kwenye email yako Weka email Yako hapa Endapo itatokea umelala kisha ukaamka hukumbuki…
-
July 29, 2019
499; Njoo Uchukue Milioni Kesho.
Ikitokea Rais amesema vijana wote kesho tukutane nae pale Posta Dar es Salaam Atakuwa anagawa Tsh 1m ukafanyie chochote unachotaka, popote ulipo bila kujali unafanya nini…
-
July 29, 2019
498; Huwezi Kunizuia Tena.
Unajua hakuna kisichowezekana kwenye dunia hii endapo utakuwa umeweka nia ya dhati ya kutaka kufanikisha. Endapo utaamua kwamba hakuna chochote kinachoweza kukuzuia tena, ukik…
-
July 16, 2019
MBINU ZA KUKUZA BIASHARA YAKO KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM
Habari nimekuwekea video mpya kwenye youtube inayoelezea mbinu za kukuza biashara yako kwenye mtandao wa Instagram, tazama, jifunze na usisahau ku subscribe.
-
July 9, 2019
495; Toka Kwenye Maboksi Ya Wengine.
Kuna vile unajihisi wewe haupo sawa kisa tu maisha yako hayafanani na ya fulani. Elimu yako haiendani na watu fulani, huna cheo cha maana kwenye kazi.…
-
July 8, 2019
494; Endapo Maisha Yote Uliyoishi Mpaka Sasa Yangekuwa ni Ndoto.
Habari Rafiki, leo naomba ujiulize swali hili la msingi sana. Iwapo umeamka asubuhi halafu ukajitazama ukakuta umerudi nyuma miaka 10 au ishirini iliyopita. Yaani kumbe yote…
-
June 12, 2019
493; USIWATHIBITISHIE. (DON’T PROVE THEM WRONG)
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiona watu wanafanya vitu mbalimbali kama ujasirimali, biashara fulani, kazi Fulani, ili tu kuwathibitishia watu fulani waliokuwa wanawaona wao hawaf…
-
May 20, 2019
489; Hizi Ndio Fikra Zinazokufanya Usiendelee Kwenye Maisha.
Ndani ya jiji lenye watu wengi kuliko miji mingine ndani ya Tanzania jiji la Dar es Salaam, kumekuwa na changamoto kubwa sana ya Usafiri. Hivyo basi…
