HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
February 7, 2018
HATUA YA 291: Fikra Chanya, Matendo Chanya.
Your Positive Action Combined with Positive Thinking Results in Success. – Shiv Khera Matendo yako chanya yakijumuishwa na mawazo yako chanya yanaleta matokeo kwenye maf…
-
January 1, 2018
HATUA YA 290: Heri Ya Mwaka Mpya
Habari Rafiki yangu mfuatiliaji wa Makala hizi za HATUA. Kila mmoja anayofuraha na jambo la kusema asante kwa Mungu alietupa uzima na tumeweza tena kuona mwaka…
-
December 30, 2017
HATUA YA 289: Shughulika na Hiki 2018
Mara nyingi tumekuwa tunapambana na mambo ambayo hayaondoi matatizo yetu bali yanayapooza tu na kisha baada ya muda hujirudia. Kama kuna sehemu inavuja kwenye nyumba yako…
-
December 27, 2017
HATUA YA 288: Upo Tayari?
Unachokifanya sasa hivi kama kinatoka ndani ya moyo wako upo tayari kukifanya hadi unakufa hata kama hutapata chochote? Hili limekuwa ni swali moja gumu sana kujua…
-
December 22, 2017
HATUA YA 287: Unachokisema na Unachokifanya.
Siku zote ili upate kile unachokitaka inatakiwa unachokisema kiendane na unachokifanya. Na kama ukiona maneno yako ni tofauti na unayoyafanya kila siku ujue umeshapotea…
-
December 20, 2017
HATUA YA 286: Mwogope Mhitimu Huyu Popote Utakapokutana Nae.
Mojawapo ya sifa kubwa ambayo inamtofautisha mwanadamu na viumbe wengine ni kufikiri. Na sio kufikiri tu na baada ya kufikiri kufanya maamuzi ambayo yatamwezesha aendelee kuis…
-
December 13, 2017
HATUA YA 285: Hii ndio Mali Unayomiliki na Usiyoweza Kuibiwa na Yeyote.
Pamoja na kwamba tunapambana kila siku ili kuweza kuyafanya Maisha yetu yawe bora vipo vitu vya muhimu sana tunapaswa kuvitazama Zaidi. Unaweza kumiliki utajiri wa kila…
-
December 5, 2017
HATUA YA 284: Huu ndio Mtazamo Unaopaswa Kuwa Nao
Mtazamo wako ndio unaamua ukubwa au udogo wa matatizo yako. Mtazamo wako ndio unaamua wewe ushinde au ushindwe kwenye changamoto unazopitia. Mtazamo wako ndio unakufanya wakat…
-
December 3, 2017
HATUA YA 283: Hiki ndio Kipimo Bora cha Uaminifu wa Mtu.
Siku zote ukitaka kujua kama mtu anakuibia mara nyingi huwa tunawawekea mitego mbalimbali. Lakini kuna baadhi ya vitu huhitaji kuweka mitego wala chochote bali unahitaji tu…
-
November 27, 2017
HATUA YA 282: Hii Ndio Siri Iliyopo Ndani ya Woga.
Kama kuna jambo umekuwa unaliogopa sana kulifanya katika Nyanja ya mafanikio hiyo ni ishara ya kwanza kabisa kuonyesha kwamba jambo hilo litaleta matokeo makubwa kwenye Maisha…
-
November 24, 2017
HATUA YA 281: Kuna Mtu Anakuamini?
Kama utaishi hapa duniani halafu ukakosa watu ambao watakuamini utaishi Maisha magumu sana. Hii ni kwasababu kuna baadhi ya mambo unapoyafanya lazima uwe una watu wanaokuamini…
-
November 21, 2017
HATUA YA 280: Watu Wengi Wamekosa Kitu Hiki ndio Maana Hawafiki Popote.
Kuna msemo mmoja wa wahenga unasema “mazoea hujenga tabia” ni kweli lile jambo ambalo umezoea kulifanya mara kwa mara linakuwa tabia yako. Lakini kitu cha kushangaza…
