HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
December 25, 2016
HATUA YA 11; Furaha yako Inatoka Wapi?
Furaha yako inatoka wapi? Nataka ujiulize leo furaha yako inatokana na nini! Kila mmoja ana jibu lake juu ya chanzo cha furaha yake. Kama furaha yako…
-
December 24, 2016
HATUA YA 10; Tafuta sababu ya Tatizo
Kila kinachotokea Maishano mwako kinatokea Kwasababu. Changamoto yeyote unayopitia ipo Kwasababu. Ugumu wa Maisha unaopitia upo Kwasababu. Ukosefu wa pesa ulionao upo Kwasaba…
-
December 23, 2016
HATUA YA 9; Tabia ya Uvivu.
Tabia ya Uvivu ndio inasababisha wengi wanapata hasara ya maisha pamoja na matatizo mbalimbali. Tabia ya Uvivu mara nyingi huletwa na kuridhika na kile unachokipata. Kama…
-
December 22, 2016
HATUA YA 8; UADILIFU
Uadilifu ni kitu cha muhimu sana kwenye Maisha yetu ili kutuwezesha kujenga historia nzuri. Watu wengi wanakosa uadilifu ndio maana biashara zao zinakufa baada ya muda…
-
December 21, 2016
HATUA YA 7; Kurudia Rudia.
Kabla hujasema Haiwezekani umeshajaribu mara ngapi? Kabla hujaamua kuacha umefanya kwa Kiwango cha kuridhisha? Umerudia mara ngapi? Hivi unajua kila mbegu ina muda wake wa ku…
-
December 20, 2016
HATUA YA 6; Nidhamu
Nidhamu ndio kitu cha muhimu sana katika safari yetu ya Mafanikio. Nidhamu ni pale unapoamua kufanya kitu iwe unataka au hutaki. Kama umesema utasoma vitabu viwili…
-
December 19, 2016
HATUA YA 5; Enjoy the Journey.
Mafanikio ni safari na safari yeyote ina changamoto zake. Usione wanaopanda ndege ufikiri huwa nyakati zote ni furaha tu. Kuna wakati ndege hupata misukosuko angani pia.…
-
December 18, 2016
HATUA YA 4; Fanya Kitu
Hakikisha siku haipiti hujafanya kitu katika kufikia ndoto na maono yako. Kila unachokifanya kinasababisha matokeo baadae hivyo Hakikisha siku haipiti hujafanya chochote katik…
-
August 28, 2016
WEWE NI MSHINDI
Mshindi ni mtu alieshinda, Hivyo wewe ni mshindi kwa kua umeshinda, kua hai leo ni ushindi, kuwa na Mungu mpaka sasa huo ni Ushindi, kuweza kujifunza…
