Mafanikio Kwenye Biashara
Kitabu hiki kimebeba uhalisia wa Maisha ambayo nimeishi na kujifunza kutoka kwa wengine. Pamoja na kitabu hiki…
Habari, mimi ni Jacob.
Kwa zaidi ya muongo mmoja nimeandika kila siku kuhusu maisha, hekima na mafanikio — vitabu sita na zaidi ya makala 900. Wakati huo huo nimejenga Netpoa, kutoka chumba kimoja Mbagala.
Vyote kwa Kiswahili, vyote kutokana na maisha niliyoishi.
Kitabu hiki kimebeba uhalisia wa Maisha ambayo nimeishi na kujifunza kutoka kwa wengine. Pamoja na kitabu hiki…
Chukua Hatua, Timiza Ndoto Yako
Kitabu maalumu kwako wewe unayetaka ndoto yako itimie — mwongozo wa kujitambua na kuchukua hatua.
Msingi wa Maisha yenye Mafanikio
Misingi saba ya maisha yenye mafanikio — kwa nini upo hai leo, na unapaswa kufanya nini nayo.
Mkusanyiko wa Hatua za Mafanikio
Makala 101 zilizochambuliwa kutoka mfululizo wa HATUA ZA MAFANIKIO — mbinu za kusonga mbele.
Likizo zangu nilizitumia kubeba vifaa na kukoroga saruji. Niliwaambia mafundi wenzangu kwamba siku moja nitamiliki kampuni na kuwaajiri watu. Wengi walicheka.
Mwaka 2013 nilihitimu TEHAMA. Mwaka 2014 nilijitolea kufundisha kompyuta. Mwaka 2015 nikaanzisha Moja Technology na kushika kalamu. Mwaka 2018, nikiwa na laptop na godoro, nikaanzisha Netpoa.
Soma hadithi kamiliMazungumzo ya ana kwa ana kuhusu kile unachopitia — mwelekeo, maamuzi magumu, au hatua inayofuata.
Mafunzo ya nidhamu, uongozi na utamaduni wa kazi kwa timu za makampuni, makanisa na vikundi.
Mikutano, semina, makongamano na matukio ya vijana — kuhusu kusudi, biashara na maisha.
Vitabu sita na zaidi ya makala 900 — soma bure hapa, au chukua kitabu kizima.
Kupitia Netpoa: domain, hosting, barua pepe za kampuni na tovuti — kwa bei ya Kitanzania.
Hosting, usajili wa domain na huduma za kidijitali kwa biashara na taasisi za Tanzania.
Mwaka 2016/17 nikiwa Arusha, mimi na rafiki yangu tulipata wazo kubwa: kutengeneza app au mfumo wa kusaidia watu kukata tiketi za mabasi mtandaoni, mkoa kwa mkoa.…
Mwaka 2020 ulikuwa wa changamoto nyingi, lakini pia ulikuwa na fursa nyingi sana kwa wale waliokuwa tayari kuchukua hatua. Wengi wetu tulikuwa tunahangaika na hofu, hatari,…
Mara nyingi tumefundishwa maneno haya: “Hakikisha unazungukwa na watu ambao siku ukiwa na shida ya milioni moja, ukipiga simu moja tu uwe umeipata.”Ni kweli kabisa, kuwa…
Katika maisha, kila mtu ana saa 24 kwa siku, lakini tofauti ya mafanikio kati ya watu hutegemea jinsi wanavyotumia muda wao. Kuna mambo mengi tunayoyafanya kila…
Ukishakufa ubongo wako unaoza na kila kumbukumbu iliyokuwepo humo inapotea. Chochote ulichotaka kufanya kinapotea. Chochote ambacho hukukitoa nje hakitokaa kionekane tena. Dun…
Kwa WhatsApp au Email
Free. Leave any time.