BIASHARA NA UJASIRIAMALI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
October 14, 2025
USIPOCHUKUA HATUA, WENGINE WATAICHUKUA
Mwaka 2016/17 nikiwa Arusha, mimi na rafiki yangu tulipata wazo kubwa: kutengeneza app au mfumo wa kusaidia watu kukata tiketi za mabasi mtandaoni, mkoa kwa mkoa.…
-
July 16, 2019
MBINU ZA KUKUZA BIASHARA YAKO KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM
Habari nimekuwekea video mpya kwenye youtube inayoelezea mbinu za kukuza biashara yako kwenye mtandao wa Instagram, tazama, jifunze na usisahau ku subscribe.
-
April 16, 2018
#KONA YA BIASHARA: Unachoweza Kufanya Ni Kipi?
Unaweza kuwa na sababu za kila aina zinazoelezea kwanini hadi sasa huna unachokifanya au hujamiliki biashara yako. Swali langu kwako litakuwa ni unachoweza kufanya ni kipi?…
-
February 25, 2018
KANUNI 10 ZA MAFANIKIO ANAZOPASWA KUZIJUA MJASIRIAMALI.
Habari rafiki, leo kwenye ujasiriamali tunakwenda kujifunza juu ya kanuni 10 ambazo unapaswa kuzijua wewe mjasiriamali. Ni imani yangu kwa kupitia makala hii utatoka na mwanga…
-
February 20, 2018
Mambo 5 Ambayo kila Mjasiriamali Anapaswa Kuwa Nayo.
Habari za leo ndugu msomaji wa makala hizi kila siku ndani ya USIISHIE NJIANI. Ni matumaini yangu unaendelea vyema na maisha yako. Leo tunazungumzia mambo ambayo…
-
February 13, 2018
Vinavyowezekana na Visivyowezekana.
Mara nyingi tunapenda Zaidi kufanya yale ambayo yanawezekana kwenye uwezo wetu wa akili. Sio vibaya lakini unakuwa hakuna cha tofauti ambacho utakipata. Watu wote ambao wamewe…
-
February 8, 2018
KAMA UNA SIFA HIZI WEWE NI MJASIRIAMALI
Habari za leo mwanamafanikio. Leo ninataka kukuonyesha mambo machache ambayo yanaonyesha wewe ni Mjasiriamali. Katika dunia ya sasa tunahitaji watu wengi ambao ni wajasir…
-
June 14, 2017
JINSI YA KUPATA WAZO LA BIASHARA
Habari rafiki, leo nataka nikuonyeshe njia mbalimbali za kupata wazo la biashara na mtaji. Inawezekana mwaka huu una mpango wa kwenda kuanza biashara yako mpya Makala…
-
April 15, 2017
MAMBO 5 NILIYOJIFUNZA LEO -4
Habari rafiki, unaendeleaje. Leo tena tunakutana na mambo haya matano niliyojifunza siku ya Leo. Karibu sana rafiki yangu tujifunze pamoja. 1. Uaminifu ndio Mtaji Wako. Haku…
-
January 10, 2017
JINSI YA KUZISHINDA CHANGAMOTO UNAZOKUTANA NAZO KWENYE UJASIRIAMALI NA BIASHARA.
Habari za leo Mwanamafanikio mwenzangu. Najua una pilikapilika nyingi kipindi hiki cha siku kuu. Lakini mimi pia bado nipo kwa ajili yako. Hivi unajua kwamba kipindi…
-
January 9, 2017
NAMNA YA KUWEZA KUFIKIA MAFANIKIO NA BIASHARA YAKO
Habari za leo Rafiki? Ni siku nyingine tena ya Baraka sana kwangu. Natumaini na kwako ni ya baraka Pia. Tunapopata nafasi ya kuwa na nguvu ya…
-
January 6, 2017
JINSI YA KUANZIA CHINI KABISA NA BIASHARA YAKO
Habari za leo Ndugu. Unaendeleaje na katika kutafuta Maisha ya mafanikio? Leo nimekuletea mada nyingine ya muhimu sana baada ya mada ya mada ya mtaji. Haya…
