AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
October 14, 2025
Kama Ungefanya Uamuzi Huu Mwaka 2020, Leo Ungekuwa Milionea
Mwaka 2020 ulikuwa wa changamoto nyingi, lakini pia ulikuwa na fursa nyingi sana kwa wale waliokuwa tayari kuchukua hatua. Wengi wetu tulikuwa tunahangaika na hofu, hatari,…
-
August 29, 2025
Unataka Watu Wakusaidie? Hii Ndiyo Siri Wanayokuficha…
Mara nyingi tumefundishwa maneno haya: “Hakikisha unazungukwa na watu ambao siku ukiwa na shida ya milioni moja, ukipiga simu moja tu uwe umeipata.”Ni kweli kabisa, kuwa…
-
February 9, 2025
MAMBO 10 UNAYOFANYA KILA SIKU YASIYO NA MSAADA WOWOTE KWENYE MAISHA YAKO
Katika maisha, kila mtu ana saa 24 kwa siku, lakini tofauti ya mafanikio kati ya watu hutegemea jinsi wanavyotumia muda wao. Kuna mambo mengi tunayoyafanya kila…
-
February 9, 2024
539: Ondoka Duniani Ukiwa Mtupu.
Ukishakufa ubongo wako unaoza na kila kumbukumbu iliyokuwepo humo inapotea. Chochote ulichotaka kufanya kinapotea. Chochote ambacho hukukitoa nje hakitokaa kionekane tena. Dun…
-
July 26, 2023
538; Jinsi ya Kuwa Mtu Bora Kila Wakati.
Habari Rafiki, Ni muda mrefu umepita bila kunisikia kwenye uwanja huu wa Makala. Ninayofuraha kukwambia leo niandaa Makala bora sana kwa ajili yako. Kinachowafanya watu waende…
-
July 27, 2021
537; Ingia Ndani Zaidi..
Watanzania wengi ni wavivu sana kusoma, kabla hujaamini picha ya kichwa cha habari inayosambazwa jaribu kutafuta habari nzima uisome na uelewe. Vichwa vingi vya habari huandik…
-
June 16, 2021
536: Huwezi Kuwaridhisha.
Watu wanaweza kukuchukia pasipo na sababu yoyote ya msingi. Inawezekana hata hujawahi kuwasemesha lakini wakakuchukia. Inawezekana hujawawahi kuwatendea jambo lolote lile baya…
-
April 5, 2021
535: Yanapokuja Usiyoyatarajia…
Weka Email Yako Hapa Upokee Makala Kama Hizi Kwenye maisha yetu ya kila siku kuna mambo mengi hutokea na kwa namna moja au nyingine mambo haya…
-
February 6, 2021
534: Ni Nini Kitafuata?
Miaka michache iliyopita kuna vingi vilivyogunduliwa kipindi hiki havikuwepo kabisa na vingine hata havikudhaniwa kama vingewezekana. Kilichofanya haya mambo makubwa tuyaonayo…
-
October 17, 2020
533; Kabla Hujachukua Jiulize Ulicholeta.
Watu wengi huja kwenye Maisha yetu wakiangalia ni kitu gani watapata na ndio maana mara nyingi ukiwa huna chochote huwezi kuwa na watu wengi waliokuzunguka. Natamani…
-
June 9, 2020
532; Uliza.
Shida kubwa tuliyonayo watu wengi ni kujipa majibu ya maswali ambayo tunajiuliza wenyewe kuhusu watu wengine. Mara tu unapoingiwa na wasiwasi kichwani mwako juu ya jambo…
-
May 21, 2020
531; Ni Hatua Ndogo Ndogo.
Kinachoangusha mtu sio shoka moja lilipigwa kwa nguvu bali ni mkusanyiko wa kukatwa kidogo kidogo hadi mti unafikia hatua unakuwa umeanguka. Yale mambo makubwa unayotaka kuyaf…
