HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
April 1, 2018
HATUA YA 316: Kukosea ni Kujua Njia Nyingi Zaidi.
Ulishawahi kwenda mahali ukapotea njia? Unajua ni faida gani unapata baada ya kupotea njia? Kwanza unakuwa umejua njia nyingine ambayo haiendi kule ulipokuwa unakwenda. Pili u…
-
March 31, 2018
HATUA YA 315: Hiki Ndio Kipimo cha Thamani ya Unachokifanya.
Lipo swali moja ambalo unapaswa kujiuliza kila wakati kwenye kile ambacho unakifanya kila siku. Inaweza kuwa ni kazi yako, kipaji, biashara au chochote kile kinachokuhusisha w…
-
March 29, 2018
HATUA YA 314: Unaamini Nini?
Imani ndio inaweza kuamua matendo ya mtu juu ya kile unachokifanya. Huwezi kufanya jambo kwa ujasiri na kujiamini kama huna imani nalo. Imani inazidi uwezo ulio…
-
March 26, 2018
HATUA YA 313: Historia Itakuhukumu.
Kuna mambo ambayo tunafanya sasa wakai mwingine tunaweza kuwa tunabishana sana juu ya nani yupo sahihi na nani amekosea. Ukweli unaweza usielewe kwa haraka kwasababu wengi…
-
March 25, 2018
HATUA YA 312: Njia Rahisi Zaidi.
Kuna wakati mtu anaweza kuja kuomba ushauri halafu akategemea kwamba utampa njia rahisi Zaidi au shortcut ya kutatua changamoto zake. Wakati mwingine unaweza ukapewa njia ngum…
-
March 23, 2018
HATUA YA 311: Mtazamo wa Kuwa Juu Wengine Chini.
Huwezi kuishi kwa furaha na Amani duniani kama una mtazamo wa kuwakandamiza wengine ili wewe uonekane upo juu. Kuna mtazamo ambao wengi wanao na wamekuwa wakiamini…
-
March 21, 2018
HATUA YA 310: Ni Kama Kivuli Tu.
Maisha Yako yaliyokwisha kupita ni kama kivuli nyuma yako. Sio kila mtu anaekutazama ataweza kuona kivuli chako labda awe alishakuwa nyuma yako. Unachotakiwa kujua ni kwamba…
-
March 19, 2018
HATUA YA 309: Hiki Ndio Kisasi Bora kwa Adui Zako.
Huwezi kuondoa chuki kwa kuchukia, kama mtu akikutendea ubaya wewe ukimtendea ubaya unakuwa huna tofauti na yeye. Huwezi kuzima moto kwa kuuongezea vichocheo vinavyoufanya uen…
-
March 18, 2018
HATUA YA 308: Maoni ya Watu Wengine Juu Yako.
Tumezungukwa na watu wengi ambao wanatutazama kwenye yale tunayofanya kila siku. Wapo ambao wanatupenda na wanatamani kuona tunafika mbali vilevile wapo ambao wanatuchukia tu…
-
March 16, 2018
HATUA YA 307: Huu Ndio Uhuru Wa Kweli.
Uhuru sio kuamua kufanya unachokitaka bila kupangiwa au kusimamiwa na mtu yeyote. Endapo ingekuwa ni hivyo basi kungekuwa na uharibifu mkubwa kwasababu ya asili yetu wanadamu.…
-
March 9, 2018
HATUA YA 306: Vinavyotokea Vyenyewe.
Vitu vinavyotokea Vyenyewe Kwenye Maisha yako mara nyingi ni vitu ambavyo Huvihitaji, na wala havina mchango chanya kwako, ni kama magugu ndani ya shamba. Kutarajia vitu…
-
March 5, 2018
HATUA YA 305: Wakati Wako Upo.
Haijalishi unapitia hali gani sasa, unapaswa kujipa moyo na kujitia nguvu kwasababu wakati wa wewe kufanikiwa na kuinuka kwenda viwango vingine upo. Unaweza kupambana sana na…
