MAISHA NA MAHUSIANO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
February 7, 2020
525; HEKIMA: Ni Wewe.
Ni wewe utawajibika pale unapoingia kwenye matatizo bila kujali ni nani aliyeyasababisha. Ni wewe utatakiwa kuchukua hatua pale mambo yanapokuwa magumu kwasababu ya uzembe una…
-
December 17, 2019
511; Unakimbilia Wapi? Tazama Pembeni Yako.
Haya Ndio Maisha yetu kwenye vitu vingi tunavyopitia kila siku, Soma kisa hiki ujifunze: “Habari kaka Jacob, ninaomba ushauri wako kuhusu hili. Ni mwaka wa tatu…
-
November 13, 2019
510; Ninajihisi Kama Mtu Aliekwama Kwenye Tope.
“Kaka Jacob naomba ushauri wako, sijui hata nifanyeje, huu ni mwaka wa 5 sasa nimekuwa najaribu kuingia kwenye mahusiano tofauti tofauti lakini naambulia kuachwa na kuumizwa.…
-
July 31, 2019
501; Kutafuta Samaki Msituni.
Jaribu kuvuta picha upo katikati ya msitu, unatafuta samaki. Umejipanga kila kitu unacho, una chambo za kutosha, una vifaa vya kubebea na pia una hamasa na…
-
July 30, 2019
500; Ikatokea Umesahau Kila Kitu.
Jiunge na Mtandao Huu Uwe Unapokea makala nzuri kama hii moja kwa moja kwenye email yako Weka email Yako hapa Endapo itatokea umelala kisha ukaamka hukumbuki…
-
July 29, 2019
499; Njoo Uchukue Milioni Kesho.
Ikitokea Rais amesema vijana wote kesho tukutane nae pale Posta Dar es Salaam Atakuwa anagawa Tsh 1m ukafanyie chochote unachotaka, popote ulipo bila kujali unafanya nini…
-
July 29, 2019
498; Huwezi Kunizuia Tena.
Unajua hakuna kisichowezekana kwenye dunia hii endapo utakuwa umeweka nia ya dhati ya kutaka kufanikisha. Endapo utaamua kwamba hakuna chochote kinachoweza kukuzuia tena, ukik…
-
July 22, 2019
497; Chuki Za Kijinga.
Unaweza ukashangaa sana kumkuta mama anawafurahia Watoto wa wengine na kucheka nao vizuri sana lakini wakati huo huo anamchukia sana mtoto alieko nyumbani kwasababu ni mtoto…
-
July 18, 2019
Jinsi Ya Kufanya Chaguzi Sahihi kwenye Ulimwengu Wenye Chaguzi Nyingi.
Jiunge na Blog Hii upate makala moja kwa moja kwenye email yako weka email yako hapa
-
July 9, 2019
495; Toka Kwenye Maboksi Ya Wengine.
Kuna vile unajihisi wewe haupo sawa kisa tu maisha yako hayafanani na ya fulani. Elimu yako haiendani na watu fulani, huna cheo cha maana kwenye kazi.…
-
July 8, 2019
494; Endapo Maisha Yote Uliyoishi Mpaka Sasa Yangekuwa ni Ndoto.
Habari Rafiki, leo naomba ujiulize swali hili la msingi sana. Iwapo umeamka asubuhi halafu ukajitazama ukakuta umerudi nyuma miaka 10 au ishirini iliyopita. Yaani kumbe yote…
-
June 12, 2019
493; USIWATHIBITISHIE. (DON’T PROVE THEM WRONG)
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiona watu wanafanya vitu mbalimbali kama ujasirimali, biashara fulani, kazi Fulani, ili tu kuwathibitishia watu fulani waliokuwa wanawaona wao hawaf…
