HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
April 20, 2018
HATUA YA 328: Hii Ndio Sababu ya Kushindwa Mambo Magumu.
Mara nyingi unapoamua kufanya jambo la tofauti na lenye ugumu tofauti na ulivyozoea kunakuwa na hofu ndani yako. Hofu ya kushindwa,hofu ya kupata aibu, hofu ya…
-
April 18, 2018
HATUA YA 327: Mbinu Ya Kuweza Kufanya Usiyoyapenda.
Tunasema ili ufanikiwe ni muhimu ukafanya kile unachokipenda. Ni kweli hili kabisa ila sasa katika kufanya kuna mambo utakutana nayo ambayo huyapendi kabisa. Hayo mambo yanawe…
-
April 16, 2018
HATUA YA 326: Wanakuonesha Wanachotaka Uone.
Kwenye dunia ya sasa ya mitandao ya kijamii imekuwa ni rahisi sana kuweza kumtafuta mtu yeyote na kuona mambo mbalimbali anayoyafanya. Ni rahisi sana kujua vitu…
-
April 13, 2018
HATUA YA 325: Ukisikia Biashara Inalipa Sana…
Imekuwa ni kawaida sana kusikia watu wanasema biashara fulani inalipa sana au fursa Fulani ukifanya lazima utoke. Ndio inawezekana ni kweli ukifanya utatoka, mfano ni msimu…
-
April 11, 2018
HATUA YA 324: Hakuna Anaejali, Kuliko Unavyotakiwa Kujali.
Ulishawahi kufanya jambo halafu matarajio yako yalikuwa ni watu wakuzungumzie au wakujali sana lakini ukaja kukuta hakuna hata anaehangaika na wewe? Hii inatokana na pale unap…
-
April 10, 2018
HATUA YA 323: Hii Ndio Sababu ya Wengi Kukosa furaha na Kutotosheka.
Kama kila kiumbe hai kitaweza kufuata vile kilivyotakiwa kuishi kila kiumbe kitatosheka. Mwanadamu ndie kiumbe ambaye anaongoza kwa kutokutosheka hapa duniani. Kutokutosheka…
-
April 9, 2018
HATUA YA 322: Mambo 26 Niliyojifunza Hapa Duniani. (Happy BirthDay To Me)
Napenda kuchukua nafasi hii ya leo kumshukuru sana Mungu kwa zawadi ya uhai na nafasi ya kuendelea kuwepo hapa duniani. Nashukuru kwa kipawa hiki cha uandishi…
-
April 8, 2018
HATUA YA 321: Ukichukua Hatua ya Imani, Utaanza Kuona Usiyoyatarajia.
Kuna Mambo hutakaa uyaone kwenye Maisha yako hadi uamue kuchukua Hatua ya Imani. Hatua ya Imani ni kutoka na bidhaa zako nyumbani kwenda nazo mtaani ukiwa…
-
April 6, 2018
HATUA YA 320: Hivi Ndio Namna Ya Kutabiri Mwisho Wako.
Jipatie Vitabu vya Biashara na Mafanikio… https://jacobmushi.co.tz/vitabu/ Mti unajulikana kwa matunda yake. Aina ya matunda ambayo mti unatoa ndio tunasema huu ni mti F…
-
April 5, 2018
HATUA YA 319: Ni Ukweli au Ni Hofu Tu?
Bonyeza hapa upate offa ya Vitabu Bora Mwezi April. https://jacobmushi.co.tz/offa-offa-offa-ya-vitabu-bora-mwezi-april/ Miaka michache iliyopita katika nchi moja hapa barani A…
-
April 4, 2018
HATUA YA 318: Ukishindwa Wewe, Sio Kila Mtu Atashindwa.
Offa, Ya Vitabu Bora Mwezi April. https://jacobmushi.co.tz/offa-offa-offa-ya-vitabu-bora-mwezi-april/ “Because a thing seems difficult for you, do not think it impossible for…
-
April 2, 2018
HATUA YA 317: Umejifunza Nini?
Inawezekana wewe ni Mkristo na umekuwa unaikumbuka hii siku kuu ya Pasaka kila mwaka, lakini lipo swali la muhimu kujiuliza. Je tunajifunza nini? Pia haijalishi wewe…
