HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
May 15, 2018
HATUA YA 340: Vitu Hivi Viko Sambamba Siku Zote.
Huwezi kusema unataka mwili wenye misuli bila ya mazoezi magumu na mazito. Huwezi kusema unataka mtoto lakini hutaki kubeba majukumu ya kupata mtoto. Maumivu, kukataliwa, kupi…
-
May 12, 2018
HATUA YA 339: Ukisubiria Nafasi Itokee, Wenzako Wanatengeneza Nafasi.
Kwenye Maisha unapaswa uweze kutofautisha kati ya vitu ambavyo unatakiwa uvifanye vitokee na ambavyo unatakiwa usubiri vitokee kwa uweza utokao juu. Ukishindwa kuvitofautisha…
-
May 10, 2018
HATUA YA 338: Jua Kusudi Lako, Ili Usiteseke na Majira ya Wengine.
Kama tunasema kila binadamu ana upekee wake basi ni kama zilivyo mbegu za mimea mbalimbali. Kila mbegu ina muda wake wa tofauti katika kuonekana imeanza kuchipuka…
-
May 9, 2018
HATUA YA 337: Hakuna Kinachotokea Bila Ya Sababu Hata Kama ni Kibaya.
Unapoona mabaya yamekuja kwako usiwe mwepesi wa kulalamika bali penda kujiuliza maswali. Penda kudadisi ni wapi umekosea au ni kitu gani unapaswa kujifunza. Umeingia kwenye ma…
-
May 8, 2018
HATUA YA 336: Kwenye Dunia Unayoweza Kuwa Chochote Unachotaka.
Kwenye dunia hii ambayo kila unachotaka kuwa unaweza kuwa ni vyema ukachagua kuwa mwema. Hii ndio njia pekee ya kwanza kuonyesha wewe ni binadamu. Mtu anapofanya…
-
May 3, 2018
HATUA YA 335: Hamasa Yako ya Ndani Inaletwa na Nini?
Kila mtu kulingana na kile anachokitaka kuna namna anakuwa na hamasa ndani yake. Swali la kujiuliza ni kitu gani hasa kinakupa hamasa? Kitakachoamua udumu kwenye maamuzi…
-
May 1, 2018
HATUA YA 334: Ukitaka Kuwa Mkubwa wa Wengine Kubali Hiki..
Kanuni ya kuwa Mkubwa wa wengine siku zote ni kutumika. Hakuna bosi alieweza kuajiri maelfu ya watu kwenye kampuni yake kama hakutoa muda wake akitumika hadi…
-
April 30, 2018
HATUA YA 333: Usipoteze Muda Kwenye Kitu Hiki Kabisa.
Tunayaelewa mambo kulingana na uwezo wetu wa kufikiri na namna mitazamo yetu ilivyo. Kama ni hivyo basi utakuwa ni upotevu wa muda usio na msingi kabisa…
-
April 29, 2018
HATUA YA 332: Unajijengea Ukuta Au Unafungua Njia?
Katika Maisha yetu ya kila siku na vitu tunavyofanya kuna kitu ambacho tunatengeneza. Vile unavyoishi Maisha yako kuna picha watu wanaijenga kuwa wewe ndio hivyo ulivyo.…
-
April 24, 2018
HATUA YA 331: Ukielewa Hili Huwezi Kuwa na Maumivu Ndani ya Moyo.
“We suffer more often in imagination than in reality” ― Seneca Mara inaweza kuwa jambo dogo sana limetokea mahali lakini kwa kupitia fikra zetu tukajikuta tumekuza lile…
-
April 23, 2018
HATUA YA 330: Kinachokufanya Uogope Kifo Ni Kipi?
Katika mambo ambayo kila mwanadamu ana uhakika kwamba lazima yatokee kwenye Maisha yake mojawapo ni kifo. Kila mmoja anajua kwamba ipo siku ataondoka duniani, japokuwa hakuna…
-
April 22, 2018
HATUA YA 329: Ni Majukumu Yako, Hakuna Haja ya Kuwatangazia watu.
Mtoto mdogo anapofanya jambo la tofauti na alilozoea kufanya na akafanikiwa mara nyingi hupenda kwenda kwa mzazi wake na kumwonyesha huku amejawa na furaha sana. Inaweza…
