HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
June 27, 2018
HATUA YA 352: Unachokikwepa Sasa Hivi…
Kiumbe hai chochote kina Hatua mbalimbali za ukuaji ambazo kinapitia hadi kufikia sehemu ambayo inakuwa ni ya ukomavu. Ili kiumbe hiki kije kuwa na mwisho mzuri…
-
June 26, 2018
HATUA YA 351: Ukianza Kuona Una Sababu Nyingi…
Mwanadamu siku zote hapendi aonekane anahusika na makossa yake mwenyewe. Na inapotokea amekosea au ameshindwa jambo Fulani anatafuta mtu wa kumbebesha yale makossa yake. Tangu…
-
June 25, 2018
HATUA YA 350: Kama una Imani ya Aina Hii Utapata Tabu Sana.
Imani huja kwa kusikia, tunasikia vitu vingi sana tunavyovihitaji na tusivyovihitaji kabisa kwenye maisha yetu. Kile unachokipa nafasi ya kukisikia zaidi kinajenga imani ndani…
-
June 23, 2018
HATUA YA 349: Umeshawahi Kukutana na Mtu wa Aina Hii?
Soma Vitabu Hivi; MAFANIKIO KWENYE BIASHARA SIRI 7 ZA KUWA HAI LEO USIISHIE NJIANI TIMIZA NDOTO YAKO. MBINU 101 ZA MAFANIKIO UMUHIMU WA MAONO. Kuna aina…
-
June 15, 2018
HATUA YA 348: Hii Ndio Njia Bora Kupima Mafanikio Yako.
Mara nyingi tumekuwa tunafanya mambo kwasababu ya mifumo tuliyoikuta na kuambiwa ni sahihi lakini si kweli. Ukiwa shuleni mnapewa mtihani mmoja wanafunzi 100 na mnapimwa viwan…
-
June 12, 2018
HATUA YA 347: Vita Inapokuwa Ngumu..
Ukiona ugumu unazidi tambua ya kwamba ndio mwisho wa pambana unakaribia. Ukiona changamoto zinazidi kuwa nyingi basi ujue kuna sehemu unakaribia kuvuka. Mbegu ikifukiwa chini…
-
June 7, 2018
HATUA YA 346: Unaweka Mchanganyiko Sahihi?
#Maji ni kimiminika ambacho kinatumika katika vitu vingi sana kwenye Maisha yetu. Ili uweze kuyatumia maji lazima uwe na lengo la kuyatumia la sivyo unaweza kuwa…
-
June 6, 2018
HATUA YA 345: Mambo Ambao Wengi Wanakwepa Kufanya.
Kwenye dunia kila mmoja analipwa kwa thamani anayoitoa. Aina ya Maisha unayoishi ni kutokana na thamani unayoipa dunia. Mshahara unaolipwa ni thamani unayoitoa kwa bosi wako.…
-
June 2, 2018
HATUA YA 344: Kuna Kinachobadilika?
Kama kuogopa kwako hakubadilishi chochote kwenye kile unachokiogopa hakuna maana ya kuogopa. Hakuna haja yeyote ya kuwa na woga ama wasiwasi kwasababu hakubadilishi matokeo ye…
-
June 1, 2018
HATUA YA 343: Unalofanya leo, matokeo ni kesho..
Dada mmoja alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni kubwa sana sehemu ya mapokezi. Kazi ile ilimpa kiburi sana kwasababu ilikuwa ni kampuni ambayo ina jina kubwa sana.…
-
May 29, 2018
HATUA YA 342: Unaemngoja Anakungoja Wewe.
Inawezekana kuna mtu unamngoja aje afanye jambo kwenye Maisha yako ili yabadilike. Inawezekana kwenye akili yako unasubiri ipo siku mambo yatakaa sawa na kuwa marahisi Zaidi…
-
May 16, 2018
HATUA YA 341: Kwenda na Wakati.
Kila mmoja anatamani sana kwenda na wakati, hakuna anaetaka kuonekana yeye ni wa zamani. Hii ndio maana unakuta watu wanakimbizana na mitindo mbalimbali mipya ya mavavi.…
