HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
July 9, 2018
HATUA YA 364: Jambo Hili Naomba Usilisahau.
Kuna mtu mmoja aliniambia Jacob naona mnataka kuwabadilisha watu waanze kufikiri kwamba ugumu wa Maisha yao wameusababisha wenyewe. Mbona kama mnataka kuwadanganya? Kuna vitu…
-
July 7, 2018
HATUA YA 363: Wote Tunatazama, Tunatofautiana Kuona.
Tunaweza kutazama mti kwa pamoja lakini kila mmoja akauona kwa mtazamo wake wa tofauti. Kuna ambaye ataona mti kama mti tu, mwingine ataona kuni, mwingine ataona…
-
July 6, 2018
HATUA YA 362: Tabia Yako Ya Halisi Ni Hii Hapa.
Unaweza kukutana na mtu akakufanyia kila jambo zuri na mengine hujawahi kufanyiwa na mtu mwingine yeyote hapa duniani. Utajisikia rah asana na kumuona ni mtu wa…
-
July 6, 2018
HATUA YA 361: Ushindi Mdogo ni Hamasa ya Kufikia Ushindi Mkubwa.
Vile vitu vidogo vidogo unavyofanya na ukafanikiwa ndio vinakupa hamasa ya kufikika ushindi mkubwa. Kama utakuwa unadharau mambo madogo madogo ni rahisi kwamba huwezi kuyafiki…
-
July 5, 2018
HATUA YA 360: Hii Ndio Dawa ya Hofu
Kwenye jambo lolote kubwa au la tofauti na ambalo halijawahi kufanyika na watu wengi mar azote unapotaka kufanya unakuwa na hofu sana. Sio kawaida ya watu…
-
July 4, 2018
HATUA YA 359: Umeifahamu Malighafi Sahihi?.
Tumekuwa na watu ambao wanapenda vitu ambavyo vipo tayari tayari. Kila wanachokitaka wanataka kiwe tayari kimeshakamilika na wao waanze kutumia tu. Ukweli ni kwamba tangu mwan…
-
July 3, 2018
HATUA YA 358: Hiki Ndio Kitu Pekee Kinachopatikana Bila Bidii
Majani yanayojiotea yenyewe kwenye mashamba ambayo hayajapandwa kitu au hata yale yaliyopandwa mar azote huwa ni kwa ajili ya viumbe wengine ambao hawana uwezo wa kujitengenez…
-
July 2, 2018
HATUA YA 357: Watakukata Mbawa Zako.
Kuku na tai hawawezi kuishi pamoja na ili waweze kuishi pamoja njia ambayo ni rahisi sana ni tai kupunguziwa mabawa yake yanayomwezesha kuruka. Hii ni kwasababu…
-
July 1, 2018
HATUA YA 356: Kujua Mtoto Atazaliwa Haitoshi.
Mama anapobeba ujauzito kwa kawaida inajulikana kwamba ni baada ya miezi 9 ndipo mtoto huzaliwa. Kadiri muda unavyokwenda kuisogelea ule mwezi wa 9 ndipo shauku huwa…
-
June 30, 2018
HATUA YA 355: Epuka Ugonjwa wa Kutaka Kuwa Sahihi/Kutaka Kueleweka na kila mtu.
Umeshawahi kujikuta unafanya kitu kimoja na hukimalizi kwasababu kila ukikitazama unakiona kama hakijakamilika bado? Umeshakutana na hali ya kutaka kila kitu kiwe kiko sawa nd…
-
June 29, 2018
HATUA YA 354: Usijipe Tafsiri ya Mabaya.
Unaweza kupitia hali mbaya muda mrefu kwenye Maisha yako hadi ukaanza kujiona wewe ni yule mtu ambaye anapitia hali mbaya. Unaweza kuwa umeshindwa kudumu kwenye mahusiano…
-
June 28, 2018
HATUA YA 353: Uko Vile Ambavyo Unajiona.
Haijalishi sana watu wanasema au wanajua wewe ni nani kuliko vile ambavyo wewe binafsi ndani yako unavyoamini. Wapo wengi wanaweza kukusifia au kukuona hufai kama wewe…
