HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
January 14, 2017
HATUA YA 31: Ishi Sasa,
Mara nyingi tumekuwa tukitamani Maisha mazuri sana kwenye akili zetu na kujiambia ipo siku tutafikia Maisha hayo. Mara nyingi hali hii huleta huzuni hasa pale unapowaona…
-
January 13, 2017
HATUA YA 30: Hivi ni Vitu vya Msingi kama unataka kudumu kwenye Mafanikio.
Kama kuna sehemu utakosea ni kusahau kujali vitu vya muhimu sana kwenye Maisha yako wakati unatafuta mafanikio na mali za ulimwengu huu. MAHUSIANO; Wakati unatafuta pesa…
-
January 12, 2017
HATUA YA 29: Sio Kila Vita Upigane wewe!
Kuna baadhi ya watu huwa unawakuta kwenye kila kitu. Kila kinachokuja kipya anakuwepo ndani yake. Kila fursa mpya unayotokea unataka ufanye. Mafanikio hayatakuja kwa kufanya v…
-
January 11, 2017
HATUA YA 28: Unaweza Kutoka hapo Ulipo.
Haijalishi upo kwenye hali gani sasa bado unayo nafasi ya kusimama tena. Inawezekana ulishasema haiwezekani lakini leo nina neno kwa ajili yako. Unaweza kufanya mambo makubwa…
-
January 10, 2017
HATUA YA 27: Acha Kujikataa,
Pale inapofika wakati ukaanza kujiona huwezi vitu Fulani kwasababu ya elimu yako ndogo unapoteza uwezo wako mkubwa taratibu. Kuna maneno ambayo ni hatari sana kujitamkia kweny…
-
January 9, 2017
HATUA YA 26: Tatizo sio Pesa Tatizo ni Wewe,
Tatizo sio kwamba huna pesa tatizo ni fikra zako juu ya pesa zilivyo. Unafikiri kwamba siku ukipata pesa utafanya hivi na hivi. Ukweli ni kwamba pesa…
-
January 8, 2017
HATUA YA 25: Huyu ndie anaekuweka Mjini,
Kama ulikua hujui kwenye hii dunia kila binadamu anauza. Kila mtu kuna kitu anauza au kama hauzi basi hajajua kama anauza. Unatakiwa ujue ni kitu gani…
-
January 7, 2017
HATUA YA 24: Kwanini Ulizaliwa Mwanadamu?
Leo nataka ujiulize kwanini Mungu alikuumba wewe mwanadamu na wala sio kiumbe kingine chochote? Ukijua hivyo huwezi kujidharau! Ukijua hivyo huwezi kujifananisha na wengine! U…
-
January 6, 2017
HATUA YA 23: Unataka kwenda Mbali au Unataka Kufika Haraka?
Kuna msemo mmoja unasema kwamba “Kama unataka kufika haraka nenda/tembea mwenyewe. Kama unataka kufika mbali usiende peke yako nenda pamoja na wengine. “If you want to…
-
January 5, 2017
HATUA YA 22: Unacho cha Kupoteza?
Katika Maisha kuna mambo mengi sana huwa yanajitokeza na yanatufanya tuwe na hali za furaha au wakati mwingine hasira. Juzi wakati nasafiri kwenda Mwanza, kwenye bus…
-
January 4, 2017
HATUA YA 46: Ukweli Utakuweka Huru.
Kuna msemo mmoja unasema ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu. Walisema hivi kwa sababu ukidanganya halafu ukasahau ulichodanganya huwezi kuwa huru. Ukidanganya mara ya kwanza itaku…
-
January 4, 2017
HATUA YA 21: Tafuta Muda Mzuri na Wewe Peke Yako.
Ni Mara ngapi umekuwa ukiwapa watu muda wako? Ni mara ngapi umekuwa ukivipa vitu vya namna mbalimbali kwenye Maisha yako? Umekuwa ukitumia muda mwingi na…
