HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
January 3, 2017
HATUA YA 3 : Hapo Ulipo Sasa.
Hapo ulipo sasa usipadharau na kujiona upo nyuma sana. Kuna wengi sana wanatamani wafikie HATUA uliyofikia wewe. Kuna wengi wanajifunza kwa HATUA uliyofikia leo. Hata kama…
-
January 3, 2017
HATUA YA 20: Andika Historia.
Kila hatua unayopita hakikisha huachi hivi hivi, Hakikisha uneacha alama. Ni changamoto unapitia Hakikisha haikuachi hivi bure, utoke na cha kujifunza, Hakikisha Unatoka na ha…
-
January 2, 2017
HATUA YA 2: Unahitaji au Unajionyesha?
Nunua kitu Kwasababu unakihitaji sio kwa ajili ya kuwaonyesha wengine kwamba una uwezo wa kipesa. Tatizo kubwa linalotusumbua ni kwamba tunafanya mambo ili watu watuone. Mtu…
-
January 2, 2017
HATUA YA 19: ASILI HAIBADILIKI.
Mojawapo ya vitu ambavyo havitaweza kubadilishwa ni vile ambavyo aliviumba Mungu. Lakini kila alichogundua mwanadamu unaweza kufikiri namna ya kukiboresha. Mwanadamu ukisema u…
-
January 1, 2017
HATUA YA 1. Kupiga Hatua Kuna Gharama.
Kwenye safari yetu ya mafanikio kuna vitu vingi tunafanya ili tusonge mbele kila wakati. Ili mtu atoke sehemu moja aliyokuwepo na kusogea mbele anahitaji kulipa gharama.…
-
January 1, 2017
HATUA YA 18: Usiishie Njiani.
Heri Ya Mwaka Mpya. Nina neno moja tu kwako mwaka huu wa 2017. #USIISHIE NJIANI. Yapo mengi sana Ulianza mwaka jana ukaweka malengo makubwa lakini ukaishia…
-
December 31, 2016
HATUA YA 17: Tafuta mtu wa Kukukosoa.
Wanadamu kwa asili tunapenda kusifiwa. Pale inapotokea mtu amekukosoa wakati mwingine unaweza kufikiri anakuonea wivu au vingine. Lakini ukweli ni kwamba hatuwezi kukua au kuw…
-
December 30, 2016
HATUA YA 16; Noa Shoka Lako.
Usiparamie mti wakati shoka ni butu. Utatumia nguvu kubwa sana lakini utapata matokeo madogo. Abraham Lincoln aliwahi kusema kwamba akipewa masaa sita kukata mti atatumia masa…
-
December 29, 2016
HATUA YA 15; KUFIKIRI NA KUTENDA.
Kufikiri na kutenda ni vitu viwili ambavyo huwa haviachana popote utakapofanya jambo. Mambo mengi mabaya na mazuri hua yanatokea hapa duniani kwasababu ya hivi vitu viwili.…
-
December 28, 2016
HATUA YA 14; UNA NGUVU NDANI YAKO.
Una nguvu kubwa sana ndani yako. Inawezekana hujawahi kuambiwa hata siku moja. Leo ninakwambia ipo nguvu ndani yako ya kushinda yote ambayo unayapitia sasa. Ipo ngvuvu…
-
December 27, 2016
HATUA YA 13; Ipo Siku.
Hapo zamani kabla ya kutambua ni kitu gani natakiwa kufanya ili nifikie Mafanikio nilizoea kusema ipo siku ndoto yangu itatimia. Ni maneno mazuri sana na ya…
-
December 26, 2016
HATUA YA 12; Wewe Rafiki Yangu.
Wewe ni Rafiki Yangu hivyo lazima wakati wote niwe nakwambia Ukweli. Ukweli ni kwamba usipokubali kubadilika mwaka 2017 utakua mgumu zaidi. Wewe Rafiki Yangu usiopoacha kuishi…
