HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
January 26, 2017
HATUA YA 43: Kitu Hiki Pekee Ndio Kinaweza Kukuzuia Kutimiza Ndoto.
Yapo mambo mengi sana yanaweza kukuzuia au kukurudisha nyuma kwenye kutimiza ndoto yako lakini hayana uwezo wowote wa kuamua ushindwe. Jambo lolote unaloona linakuzuia wewe iw…
-
January 25, 2017
HATUA YA 42: Tengeneza Picha.
Bila picha hakuna mwelekeo. Bila Picha hakuna maisha. Bila picha utachukuliwa na kila kinachokuja. Picha inakupa mwongozo, Picha inakupa vipaumbele. Picha inakupa uwezo…
-
January 24, 2017
HATUA YA 41: Usipofanya Hiki Hakuna Kitakachobadilika.
Kwenye Maisha yetu siku zote kila mtu anatamani mabadiliko, kila mmoja anatamani kupata vitu Fulani kwenye Maisha yake. Ili ubadili chochote kwenye Maisha yako lazima ukubali…
-
January 23, 2017
HATUA YA 40: Unaondokaje Duniani?
“Tukijifunza kuacha historia njema kwa kutenda mema katika maisha ya wengine itatuwezesha tuondoke duniani tukitabasamu na huku tukiwaacha wengi wakitokwa na machozi…
-
January 22, 2017
HATUA YA 39: Huyu Ndie anahusika Kuyafanya Maisha yako Yafanikiwe.
Maisha magumu uliyonayo sasa, madeni sugu, Kipato cha chini na matatizo mengine yote uliyonayo kuna mtu mmoja pekee anahusika kuyatatua. Ukweli unatakiwa umfahamu mtu huyu ili…
-
January 21, 2017
HATUA YA 38: Nani Anafanya Unachokifanya?
Kwenye dunia hii hakuna kitu ambacho utakifanya uwe umeanza peke yako. Chochote unachotaka kukifanya kuna mtu alishakifanya au bado anaendelea kukifanya. Ni muhimu sana kufaha…
-
January 20, 2017
HATUA YA 37: Jenga Msingi.
Kitu chochote imara na kilichodumu muda mrefu kina msingi imara. Ukitaka mahusiano bora na ya kudumu jenga Msingi imara. Ukitaka ndoa yenye Furaha na Amani anza…
-
January 19, 2017
HATUA YA 36: Kwanini Wanakufuata wewe?
Katika Maisha kila siku kuna jambo kila mmoja anafanya kwa ajili ya kufanya Maisha yaende sawa. Karibu kila kitu kinachofanywa kwenye dunia hii kinalenga katika kuyafanya…
-
January 18, 2017
HATUA YA 35: Usitazame Nyuma.
Mara nyingi unapopitia magumu unatazama nyuma. Haijalishi ni ugumu kiasi gani unapitia sasa Usitazame Nyuma. Endelea kusonga mbele ipo siku utatengeneza hadithi Nzuri ya kuwaa…
-
January 17, 2017
HATUA YA 34: Hawa ndio Watu wa Kukaa nao Mbali.
Kitu cha kwanza kinachowapoteza wengine na kuwafanya wengine wafanikiwe ni marafiki. Marafiki wana nafasi kubwa sana katika kuamua hatma yako, hii ni kwasababu maamuzi mengi u…
-
January 16, 2017
HATUA YA 33: Hichi ndio Cha Kujivunia.
Unaweza kujivunia cheo, unaweza kujivunia mali nyingi ulizonazo, unaweza kujivunia sura yako nzuri sana, unaweza pia kujivunia umbo lako zuri linalovutia lakini naweza kukwamb…
-
January 15, 2017
HATUA YA 32; Uko Tayari Kufia Kitu Gani?
Katika Maisha haya tunayoishi mara moja tu! Hapa duniani, ni lazima ujue ni kitu gani gani upo tayari kukifanya hadi siku ya mwisho. Hata ije mvua…
