HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
February 12, 2017
HATUA YA 60: Kufanya Kwa Mazoea.
Inawezekana unafanya vizuri sana lakini hupati matokeo mapya mambo yanakuwa yale yale kwasababu unafanya kwa mazoea. “Hatufanyi vitu vya tofauti, tunafanya vitu vilevile…
-
February 11, 2017
HATUA YA 59: Fanya Sasa.
Linalowezekana Kufanyika Leo Lisingoje Kesho. Pamoja na kwamba unakuwa na vipaumbele vyako vya maisha lakini siku zote linapojitokeza jambo ambalo linatakiwa kufanyika sasa hi…
-
February 9, 2017
HATUA YA 57: Mafanikio ni Hatua
Inawezakana ulikua hujatambua hili na ukajikuta unapoteza nguvu yako ya kwenda mbele zaidi.Mafanikio sio kitu ambacho unataka kukikamilisha bali ni hatua ambazo unazifikia kil…
-
February 8, 2017
HATUA YA 56: Kama Upo Hapa Upo Sehemu Sahihi….
Kuna wakati mtu unapitia changamoto hadi unajiuliza hivi nafanya kitu sahihi kweli?Unapitia magumu hadi unafikiri labda unakoelekea siko kwenyewe. Leo nataka nikwambie haijali…
-
February 6, 2017
HATUA YA 54: Unamhitaji Mtu Huyu.
Tupo kwenye ulimwengu ambao watu wanafanya mambo wenyewe bila kupata mtu wa kuwaongoza hivyo hupelekea watu kukosea. Vilevile watu hukosa mtu wa kuwashauri wakati wanapopitia…
-
February 3, 2017
HATUA YA 51: Kuna Tatizo Una Tatua?
Katika zama hizi za sasa kila unachokifanya kuna mwingine anakifanya. Kama hakuna basi muda si mrefu wataanza kukifanya hasa wakiona kuna matunda. Ni muhimu sana kujua…
-
February 2, 2017
HATUA YA 50: Hiki Ndio Kitu cha Muhimu Kuliko Vyote.
Ndugu yangu asikwambie mtu kitu cha muhimu kuliko vyote ni afya yako. Unajua kwanini? Kama afya yako ni mbovu hata upewe kitu gani kizuri huwezi kukifurahia…
-
February 1, 2017
HATUA YA 49: HASIRA HASARA
Kwenye Kitabu cha Mithali kuna Mstari unasema Hasira Hukaa Kifuani kwa mpumbavu. Maana yake ni nini Hasa? Maamuzi yeyote yanayofanywa kwa hasira hayajawahi kuwa maamuzi bora…
-
January 31, 2017
HATUA YA 48: Huu Ndio Muda Utajutia Kuupoteza.
Muda ndio bidhaa ya thamani kuliko bidhaa ya yeyote hapa duniani. Mtu akikupa kila unachokihitaji kwenye dunia halafu akakunyima muda vyote alivyokupa vinakuwa havina maana. M…
-
January 30, 2017
HATUA YA 47: Hisia Za Hofu Zinavyokurudisha nyuma.
Katika Kitabu Cha Think and Grow Rich Mwandishi Napoleon Hill (FAITH and FEAR) Where the one is found the other cannot exist) Imani na Hofu, Popote…
-
January 28, 2017
HATUA YA 45: HUU NAO NI UTAPELI!
Hii ni siku ya 45 tangu nimeanza kuandika kila siku mfululizo. Ninatarajia kuandika kila siku hadi mwaka huu upite. Naomba tusiishie njiani endelea kujifunza na ufanyie…
-
January 27, 2017
HATUA YA 44: Unamjua Mteja Wako?
Kabla Ya kumjua mteja ni muhimu pia ukatambua unauza nini? Maana kabla hujauza ni vizuri sana ujue bidhaa yako inakwenda kumgusa nani. Kila binadamu hapa duniani…
