HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
February 24, 2017
HATUA YA 72: Sheria ya Uvutano.
Kuna sheria nyingi za asili ambazo zinayaongoza maisha yetu kila siku ila wengi wetu tumeshindwa kujua namna ya kuzitumia ili kuwa na maisha bora. Sheria ya…
-
February 23, 2017
HATUA YA 71: Usikubali Tabia Hii Ikupate….
Mojawapo ya kitu kinchowaponza watu wengi kwenye maisha ni kujisahau. Inafika mahali mtu anazoea hali fulani nzuri hadi anafikiri ameshafika au ameshamaliza kumbe bado safari…
-
February 22, 2017
HATUA YA 70: Kama bado Una Imani hizi Mafanikio kwako bado sana..
Kama hadi sasa unaamini kwamba waliofanikiwa wana bahati hivyo wewe una bahati mbaya, sahau kabisa kuhusu kufanikiwa. Kwa kusema hivyo tayari umejiwekea vikwazo wewe mwenyewe…
-
February 21, 2017
HATUA YA 69: Jijengee Tabia Hii…
Katika Maisha yetu mambo mengi tunayokutana nayo yakatuhamasisha sana iwe ni biashara au fursa mbalimbali. Au wakati mwingine unaweza kushauriwa jambo Fulani. Kama…
-
February 20, 2017
HATUA YA 68: Hii Ndio Milango ya Kufunga Kwenye Maisha yako.
Kama maisha yako hayasogei mbele kwa maana ya maendeleo lazima kuna tatizo lipo sehemu. Na siku zote kama maisha hayasongi mbele kuna siku yataanza kurudi nyuma…
-
February 19, 2017
HATUA YA 67: Leo Unafanya Nini?
Kila siku ni siku mpya kwa ajili ya kutengeneza picha nzuri kwa ajili ya maisha yetu ya baadae. Hivyo siku inapokuja mpya ni nafasi kwako wewe…
-
February 18, 2017
HATUA YA 66: Hivi ndio vinakukwamisha…
Haya ni baadhi ya mambo yanayokukwamisha kila siku na kukufanya ushindwe kusonga mbele. Kufikiri Unajua Kila Kitu. Pale tu utakapoanza kujiona wewe ni mjuzi wa…
-
February 17, 2017
HATUA YA 65: Watu Wanatafsiri Walivyoelewa
Katika maisha tunafanya mambo mengi sana pamoja na maamuzi mbalimbali. Kitu kimoja ambacho huwa tunakosea ni kuwalazimisha watu watuelewe. Mara nyingine unaweza kujikuta u…
-
February 16, 2017
HATUA YA 64: Unapojikwaa…..
Mara nyingi tunapitia changamoto mbalimbali kwenye maisha na tunapofikia kwenye hali hizo wengi wetu badala ya kuendelea mbele tunabaki palepale. Unapojikwaa jifunze kutembea…
-
February 15, 2017
HATUA YA 63: Kuna Mtu Alifanya…..
Chochote unachokifurahia hapa duniani ambacho sio cha asili, ni matokeo ya binadamu mwenzako aliefanya kazi kwa bidii. Kila siku kuna watu wanafikiri ni kwa jinsi gani…
-
February 14, 2017
HATUA YA 62: Maisha Ni Uchaguzi
Vile ulivyo sasa au kile kinachoendelea kwenye maisha yako sasa hivi kwa namna moja ama nyingine ulichagua mwenyewe. Kuna uchaguzi ulifanya na ukakuletea matokeo unayopata sas…
-
February 13, 2017
HATUA YA 61: Ukianza Siku Yako Hivi Unaiharibu…
Kwa kawaida Akili ya mwanadamu muda wa asubuhi inakuwa na nguvu sana na uwezo mkubwa wa kufikiri. Kama una kazi ngumu ukizianza asubuhi unajikuta umeweza kuzimaliza…
