HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
March 8, 2017
HATUA YA 84: Unapopitia Changamoto hii…
Kuna wakati unaweza kupitia magumu sana kwenye dunia hii ukadhani upo mwenyewe. Kuna wakati ukadhani mbona ni wewe tu yanakukuta? Najua ulishwahi kujiuliza mambo kama haya.…
-
March 7, 2017
HATUA YA 83: Kitu Cha Thamani ni Hiki Hapa….
Mara nyingi tumekuwa tunavutiwa na mambo ya wengine wanayofanya, nguo wanazovaa, vitu wanavyomiliki na hadi kuviona hivyo ni vya thamani kuliko vile tulivyo navyo. Ukweli ni…
-
March 6, 2017
HATUA YA 82: Kutoa Na Kupokea.
Kamwe usitegemee kupata kinyume cha kile unachotoa. Kama utatoa chuki kwa watu utarudishiwa chuki. Ukionyesha upendo utapokea upendo. Kutoa na kupokea ni sheria ya asili ambay…
-
March 5, 2017
HATUA YA 81: Kitu Gani Kimetawala Mawazo Yako?
Mojawapo ya vitu vinavyowafanya watu wapoteze mwelekeo na kusahau ndoto zao ni kujaza mambo mengi kwenye akili zetu yasiyo na umuhimu. Kama akili yako inakuwa imetawaliwa…
-
March 4, 2017
HATUA YA 80: Washangaze kwa Vitendo..
Wako wengi sana walipokuona unaanza walikukatisha tamaa na kusema kwamba hutaweza jawabu sio kurudi nyuma. Unatakiwa uwashangaze, waonyeshe kuwa umedhamiria kabisa kufanya hic…
-
March 3, 2017
HATUA YA 79: Huyu Ndiye Mtu wa Muhimu Kuliko Wengine..
Duniani kuna watu wengi sana bilioni saba lakini kuna mtu mmoja wa muhimu sana kuliko wengine wote. Ni muhimu sana ukamtambua ili aweze kukupa mchango wake…
-
March 2, 2017
HATUA YA 78: Kuna Kitu Cha Tofauti?
Katika zama hizi ubunifu wako ndio unakutoa. Haijalishi unauza bidhaa iliyokuwepo miaka 20 iliyopita lakini ukiwa mbunifu unaweza kuleta mapinduzi. Watu wengi hadi zama hizi w…
-
March 1, 2017
HATUA YA 77: Mtazamo Unaotakiwa Kuwa Nao Juu ya Kifo..
Najua utashangaa vipi huyu leo anazungumzia kifo, amepatwa na nini? Lakini nikotoe hofu kwamba hakuna ubaya kabisa kuzungumzia jambo ambalo linalotokea kwenye maisha yetu kila…
-
February 28, 2017
HATUA YA 76: Hamasa Inavyohusika Katika Mafanikio
Hamasa ndio chanzo cha matendo ya aina zote unayoyaona duniani yakifanyika. Kama huna hamasa unashindwa kufanya jambo kwa ufanisi Ukifahamu kinacholeta hamasa ndani yako unawe…
-
February 27, 2017
HATUA YA 75: Huyu Ndie Anaharibu Maisha yako…
Mara nyingi tumekuwa tukimtafuta mchawi wa mafanikio yetu hasa pale tunapokwama na kushindwa kwenda mbele. Tunasahau kwamba mchawi huyo tumembeba sisi wenyewe ndani yetu. Wewe…
-
February 26, 2017
HATUA YA 74: Tengeneza Maana…. (1)
Ili maisha yetu yaweze kwenda vyema ni muhimu mtu kuwa na maana ya maisha yake anayoyaendesha. Kama maisha yako hayana maana unakuwa unapoteza muda wa kuishi…
-
February 25, 2017
HATUA YA 73: Kuhitaji na Kutaka…
Unahitajika kuamka mapema Asubuhi lakini mwili unataka uendelee kulala. Uhitajika ule vyakula bora kwa ajili ya afya yako lakini mwili unataka vitu vitamu na virahisi kupatika…
