HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
April 9, 2017
HATUA YA 116: Shukrani za Dhati
Habari ya Leo Msoma wa Makala za #Hatua za Mafanikio. Ninapenda kukushukuru sana kwa kuwa mmoja wa watu ambao mmeamua kuwa nyuma yangu. Napenda kuwashukuru sana…
-
April 8, 2017
HATUA YA 115: Unajua Chanzo cha Furaha Yako?
Hakuna kitu ambacho hakina chanzo. Ukiwa na hasira sana lazima kuna kitu kimesababisha uwe na hasira. Vile vile ukiwa na furaha lazima ujue chanzo cha furaha.…
-
April 7, 2017
HATUA YA 114: Kama Unaendesha Biashara na Huna vitu Hivi Unapotea…
Kama unamiliki biashara ambayo una malengo ya kufika mbali, yaani kuwafikia watu wengi Zaidi ya ulio nao sasa hivi na bado hujamiliki mtandao unapoteza muda wateja…
-
April 6, 2017
HATUA YA 113: Unaitumiaje Nafasi Yako?
Maisha ni kama mpira wa miguu. Katika nafasi kumi na moja kila mmoja anacheza kwenye nafasi yake. Ili ufanikiwe sio lazima uwe sehemu ya kufunga goli.…
-
April 5, 2017
HATUA YA 112: Anza Wewe Kwanza.
Wakati mwingine huwa tunatamani sana kusikia wengine wanatuambiaje, wengine wanasemaje juu ya kile tunachofanya ili kupata hamasa Zaidi. Lakini kabla ya yote lazima wewe mweny…
-
April 4, 2017
HATUA YA 111: Msukumo WaKo unaletwa na Nini?
Msukumo kwenye kile unachokifanya unaletwa na nini? Msukumo kwa yule unaesema unampenda unasababishwa na nini? Ukiweza kuniambia msukumo huo unasababishwa na kitu gani naweza…
-
April 3, 2017
HATUA YA 110: Tua Mizigo Hii Uwe Huru 2.
Habari Rafiki, leo tena tunatazama baadhi ya mizigo mingine ambayo inaweza kuwa sababu yaw ewe kushindwa kusogea mbele. Yapo mambo mengi sana yanatusonga kwenye Maisha lakini…
-
April 2, 2017
HATUA YA 109: Tua Mizigo hii Maishani Mwako.
Maisha yako yanazidi kuwa magumu sana kutokana na mizigo mingi uliyobeba. Kuna mizigo mingine haina umuhimu wowote kwenye Maisha yako. Wakati mwingine Maisha yako yanaweza kuw…
-
April 1, 2017
HATUA YA 108: Muhimu: Siku Ya Leo Fanya Kitu Hiki
Habari ya leo ndugu yangu mpendwa. Ninamshukuru kwa kufika hii hatua ya 108 bila ya kuacha kuandika hata siku moja. Nafurahi na wewe kuendelea kuwa msomaji…
-
March 31, 2017
HATUA YA 107: Mambo 2 ya Muhimu kwenye Biashara Yako..
Mara nyingi biashara inapokuwa inaanza inaakua na njia nyingi sana na nzuri za kumjali mteja. Ila kadiri inavyokuwa na kupata wateja wengi huanza kushuka taratibu kwenye…
-
March 30, 2017
HATUA YA 106: Vitu Hivi Vinakurudisha Nyuma…
Unafurahia kufanya vitu gani? Unajua kuna yofauti ya kufurahia kufanya vitu na kupenda kufanya vitu Fulani? Mtu anaweza kufurahia sana kulala hasa wakati wa asubuhi lakini…
-
March 29, 2017
HATUA YA 105: Huruma ya Mteja.
Wewe umeanzisha biashara yako ili utatue matatizo ya watu. Ukweli ni kwamba unatatua matatizo ya wengine ili utatue na matatizo yako. Utakuwa unakosea sana kama utakuwa…
