HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
March 28, 2017
HATUA YA 104: Nyuma ya Pazia
Jambo lolote zuri unaloliona kwa nje kuna watu walihusika katika kulifanya liwe zuri. Watu hawa mara nyingi wanaweza wasionekane au wasiwe maarufu kama jambo lenyewe lakini…
-
March 27, 2017
HATUA YA 103: Njia 3 za Kuepuka Madeni Mabaya
Kwenye safari ya mafanikio kuna mambo mengi yanaweza kuwa sababu ya kuturudisha nyuma kila tunapopiga hatua Fulani. Mojawapo ya mambo hayo ni madeni. Madeni haya kwa…
-
March 26, 2017
HATUA YA 102: Sababu 8 Za watu wengi kushindwa kwenye Biashara.
Zipo sababu nyingi ambazo zinaweza kuwa chanzo cha biashara nyingi kushindwa lakini hizi ni baadhi nimeziainisha kulingana na nilivyoona watu wanavyofanya biashara zao. Angali…
-
March 25, 2017
HATUA YA 101: Wewe sio Wa Kwanza..
Wewe Sio wa kwanza hapa duniani hivyo ni vyema sana kuangalia wengine walifanya nini na ujifunze kwao. Hapo ulipofika hujafika kwa nguvu zako mwenyewe kuna watu…
-
March 24, 2017
HATUA YA 100: Ukweli na Uwazi
Siku zote kama wewe ni mwongo huwezi kuwa muwazi utakua unadanganya vitu vingi. Katika Maisha yetu kila siku kuna mambo ambayo yanahitajika kusemwa na mengine yanabaki…
-
March 23, 2017
HATUA YA 99: Kitu Gani Kinakutambulisha?
Swali ambalo ukiulizwa unatakiwa ujibu bila ya kusitasita ni kitu gani kinakutambulisha wewe? Kama utaishi hapa duniani na ukatambulika kwa jina lako au mzazi wa Fulani…
-
March 22, 2017
HATUA YA 98: Kubali Kujinyima…
Wakati mwingine mafanikio huwa hayaji hivi hivi. Lazima ukubali kufanya vitu vya tofauti.. Lazima ukubali kujinyima baadhi ya vutu vinavyoweza kuwa sababu ya wewe kurud…
-
March 21, 2017
HATUA YA 97: Kubali kupata Hasara hii…
Biashara nyingi zinazoendeshwa mara nyingi mwenye biashara lengo lake ni apate pesa tu. Kama wewe una mtazamo wa aina hii kwenye biashara utachukua muda mrefu sana…
-
March 20, 2017
HATUA YA 96: Jitafute Mwenyewe Kwanza.
Kama bado hujajitafuta na kutambua wewe ni nani huwezi kujua watu wapi ni sahihi kwenye Maisha yako. Kazi ya kwanza ambayo unapaswa kuanza kuifanya ni kujitafuta…
-
March 19, 2017
HATUA YA 95: Amua Kuanza Sasa..
Unaweza kupoteza vyote lakini huwezi kupoteza uwezo ambao Mungu ameweka ndani yako. Unaweza kupoteza cheti cha chuo lakini uwezo na maarifa yaliyoko kichwani bado yana uwezo…
-
March 18, 2017
HATUA YA 94: Thamani ya Kitu…
Mara nyingi wanadamu tunatafuta vitu kwa nguvu kubwa sana. Huku tukiwa na mawazo kwamba baada ya kuvipata tutavifurahia sana. Kitu cha ajabu ni kwamba baada ya…
-
March 17, 2017
HATUA YA 93: UKosefu wa Nidhamu..
Tulipokuwa shuleni tulikuwa na mwalimu wa nidhamu. Kazi ya mwalimu huyu alikuwa anahakikisha tunakuwa na tabia ambazo haziwezi kuleta uharibifu shuleni. Hata kama shule iwe ni…
