HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
April 21, 2017
HATUA YA 128: Huu ndio Mwisho wa Kudanganya.
Katika Maisha yetu tunapitia hali za aina mbalimbali kutokana na aina za watu tunaoishi nao. Mara nyingi hasa kwenye kipindi hiki kumekuwa na uongo uliopitiliza katika…
-
April 20, 2017
HATUA YA 127: Mifuko Iliyotoboka.
Fedha hazikai kwenye mifuko iliyotoboka. Vitu vya thamani haviwekwi kwenye mifuko iliyotoboka. Mwenye Mifuko iliyotoboka anaishi kwa wasiwasi maana muda wowote akijisahau anaw…
-
April 19, 2017
HATUA YA 126: Zifahamu Tabia 3 za Watu Waliofanikiwa..
Habari rafiki, natumaini unaendelea vyema na safari hii ya mafanikio. Karibu sana kwenye hatua ya leo tujifunze pamoja. Leo tunaangalia tabia tatu ambazo wenye mafanikio maku…
-
April 18, 2017
HATUA YA 125: Kwanini Usiwe Wewe?
Kama kwenu hakuna mtu mwenye mafanikio kabisa kwanini usianze kuwa wa kwanza? Kama kwenu hakuna mtu maarufu hata mmoja kwanini usianze mchakato wa wewe kuwa wa…
-
April 17, 2017
HATUA YA 124: Watu Hawa Kuwa Nao Makini.
Habari rafiki yangu. Karibu katika hatua ya leo ya mafanikio. Ndugu Zako Wa Karibu. Hawa ni watu wa kuwa nao makini sana kwasababu wanaweza kuwa sababu…
-
April 16, 2017
HATUA YA 123: Waambie Wasikupangie
Wewe ndio unajua unakoelekea kuna wakati unaweza kufanya mambo huku unawaza watu wanasemaje. Mfano watu wengi tafsiri ya mtu mwenye mafanikio ni mwenye gari au aliejenga…
-
April 15, 2017
HATUA YA 122: Ni nani Anaejali?..
Wakati mwingine unaweza kuogopa watu juu ya kile unachotaka kukifanya kumbe woga huo hauna maana yeyote. Hakuna mtu mwingine atakaejali au anaejali kama unavyodhani. Ki…
-
April 14, 2017
HATUA YA 121: Jiondoe kwenye Gereza Hili la Pesa.
Kuna msemo mmoja watu huwa wanapenda kuutumia mara kwa mara lakini ni utetezi tu wa tabia zao ambazo ni mbaya juu ya pesa. “Pesa Huwa Haijai…
-
April 13, 2017
HATUA YA 120: Wewe Ni Nani?
Hili ni moja ya swali ambalo wengi wakiulizwa huwa wanapata kigugumizi kujibu. Lakini leo nataka uondoe kigugumizi hicho. Wewe ni nani? Ulishawahi kusikia watu wanauliz…
-
April 12, 2017
HATUA YA 119: Fanya Maamuzi..
Uwezo wa kufanya maamuzi haraka unategemeana na mtu anavyojitambua na kule anapoelekea. Mara nyingi mtu anaweza kuwa na wasiwasi wa kufanya maamuzi kwasababu hajaelewa ni wapi…
-
April 11, 2017
HATUA YA 118: Mambo Ya Kuzingatia kwa Wajasiriamali Wadogo
Habari ya leo msomaji wa jacobmushi.co.tzleo katika HATUA tutaangalia kwa ufupi mambo ya kuzingatia kama mjasiriamali. Ili uweze kusonga mbele na ufikie kwenye kuitwa mtu Fula…
-
April 10, 2017
HATUA YA 117: Tabia Hizi Zinakupotezea Wateja..
Habari ya leo mwanamafanikio mwenzangu. Napenda Niwashukuru wote mlioshiriki katika kunitakia heri ya siku yangu ya kuzaliwa jana. Nimepokea jukumu la kuongeza thamani Zaidi…
