HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
June 19, 2017
HATUA YA 177: Vitu Vya Kufanya Ili Usiishie Njiani.
Yapo mambo ya muhimu unayopaswa kuyajua na kuyafanyia kazi kila siku ili usiishie njiani. Fanyia kazi mambo haya na Maisha yako hayatakuwa kama yalivyo kuwa. Tambua…
-
June 18, 2017
HATUA YA 176: Nitafanya Mambo yakikaa Sawa..
“Tangu Kipindi Kile Unasema utafanya mambo yakikaa sawa Yalishakaa sawa?” Nitaanza kuweka akiba mambo yakikaa sawa. Nitaanza hiyo biashara mambo yakikaa sawa. Nitajiunga mambo…
-
June 17, 2017
HATUA YA 175: Watu Wawili Ambao Hutakiwi Kuwasikiliza..
Kuna watu wawili ambao siku zote ndio wanakuwa sababu ya kukurudisha nyuma kwenye safari yako ya mafanikio watu hawa unatakiwa uwe nao makini ili usiwasikilize. Wanasema…
-
June 15, 2017
HATUA YA 174: Kwanini Watu Wengi wanaishia Njiani? (2)
Yapo mambo mbalimbali tunaanza kila siku lakini mwisho wake hatufiki. Wengine wanaingie kwenye mahusiano kwa lengo la kuoana lakini wanaishia njiani. Wengine wanaingia kwenye…
-
June 14, 2017
HATUA YA 173: Kwanini Watu Wengi Wanaishia Njiani?
Watu wengi tumekuwa na tabia za kuanza vitu vipya mara kwa mara na kuishia njiani bila kuvikamilisha. Zipo sababu nyingi ambazo zimekuwa zinachangia kufanya watu waache…
-
June 13, 2017
HATUA YA 172: Itakuaje?
Kabla Hujafanya jambo lolote unashauriwa uangalie mwisho wako utakuaje. Hakikisha umeona mwishoni ni matokeo gani utapata. Kama ni mahusiano mapya embu tazama mwisho wake kabl…
-
June 12, 2017
HATUA YA 171: Wewe ni Almasi au ni Mchanga?
Leo jiulize swali hili la muhimu kwenye maisha yako. Tukitaka kupima thamani yako kwa mawe ya ardhini utafanana na mchanga au almasi? Kama tunavyojua almasi inapatikana…
-
June 11, 2017
HATUA YA 170: Kuona + Kufanya = ?
Kanuni ya kupata chochote kwenye maisha yako ni kuanza kukiona kwenye ufahamu wako. Hakuna chochote kinachotokea nje ya ufahamu wako. Watu wengi wamekuwa wanataka vitu ambavyo…
-
June 9, 2017
HATUA YA 169: Uhuru Wako Uko Hapa.
Kuna nyakati unaweza kujikuta una mambo mengi yamekufunga kwasbabu tu ulishindwa kutambua uhuru wako unapatikanaje. Inawezekana ulijifunga kwasababu ya maneno yako, au kwasaba…
-
June 8, 2017
HATUA YA 168: Kinachofanywa na Wengi..
Vitu virahisi mara nyingi vinafanywa na wengi. Kama jambo unalolifanya kila mtu anaweza kufanya jaribu kuangalia namna ya kujitofautisha au uachane nalo. Kinachofanywa na wen…
-
June 7, 2017
HATUA YA 167: Maji Ni Uhai na Yanaondoa Uhai Pia.
Mtazamo wako juu ya Maisha ndio kila kitu. Yaani Maisha yako yako hivyo kwasababu ya mtazamo wako ulivyo. Kuna msemo unasema maji ni uhai, Msemo huu…
-
June 6, 2017
HATUA YA 166: Mtu Anapokuvumilia..
Tabia ya uvumilivu tunajifunza kwamba ndio inaleta Mafaniko, hasa pale tunapopitia changamoto. Swala gumu linakuja pale unapowavumilia watu ambao ulifanya makubaliano nao yeyo…
