HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
July 4, 2017
HATUA YA 188: Imani Yako itakuponya au Kukuua.
Vile ulivyo sasa kunatokana na Imani yako juu ya vitu mbalimbali vilivyokuzunguka. Matokeo mbalimbali unayopata kwenye Maisha yako yanatokana na kile unachokiamini. Ukifanya k…
-
July 1, 2017
HATUA YA 187: Bado Nafasi Ipo.
Kama Umeamka tena leo basi bado nafasi ipo. Bado nafasi ya kubadilisha pale ulipokosea tena. Usiogope wala kukata tamaa kwa lolote lile kama bado unapumua ni…
-
June 30, 2017
HATUA YA 186: Usiwe Mmoja Wao.
Usiwe mmoja wao wanaolalamika badala ya kuchukua hatua. Usiwe mmoja wao ambao matatizo yao wenyewe wanatafuta watu wa kuwabebesha badala ya kuyatatua. Usiwe mmoja wao ambao…
-
June 29, 2017
HATUA YA 185: Vitu Ambavyo Kila Mtu Anaweza Kufanya..
Siku zote kama unafanya kitu ambacho kila mtu anaweza kufanya hakiwezi kuleta mchango mkubwa kwenye maisha yako. Kama unataka matokeo ya tofauti basi achana na mambo…
-
June 27, 2017
HATUA YA 184: Usipoteze Muda Wako kwenye Hiki.
Muda ni kitu cha Thamani sana, muda ndio umebeba maisha yetu. Kama utakuwa unatumia muda wako kuwasema watu kwa wanayofanya unapoteza sehemu ya maisha yako. Kama…
-
June 26, 2017
HATUA YA 183: Chanzo ni Nini?
Hakuna kitu kinatokea chenyewe bila ya kuwepo kisababishi. Kama sasa hivi huna pesa kuna chanzo cha wewe kukosa pesa. Ukitumia muda mwingi kulalamika kwamba huna pesa…
-
June 24, 2017
HATUA YA 182: Usisahau Kitu Hiki Uwapo na Mteja Wako.
Unachotakiwa kukumbuka ni kwamba unapokuwa na mteja wako hata saa moja usionyeshe uso wa hasira hata kama atakuwa amefanya mambo ambayo siyo mazuri. Hata kama mteja…
-
June 23, 2017
HATUA YA 181: Aina za Wateja Wanaokuja Kwenye Biashara yako Na Tabia Zao.
Tunavyojifunza kila siku ni kwamba watu hawafanani hata siku moja. Tuna vitu vingi sana ambavyo vinatufanya tuwe tofauti tofauti. Tukianza na mazingira tuliyopo, Maisha tuliyo…
-
June 22, 2017
HATUA YA 180: Usikubali Kuwa Mtu wa Aina Hii.
Kamwe usikubali kuwa mtu ambaye anadanganya. Mtu mwongo atakula matunda ya kinywa chake, uongo ni mbegu na inazaa mazao yake. Matokeo ya uongo ni kushindwa kuaminika.…
-
June 21, 2017
HATUA YA 179: Unastahili Kusaidika?
“Tangu nilipoacha kulalamika, nilipoacha kulaumu wengine kwa changamoto ninazopitia, nilipoacha kusema fulani alipaswa kunisaidia, alipaswa kunitafutia kazi, alipaswa kunisome…
-
June 20, 2017
HATUA YA 190: Mambo ya Muhimu Ya Kufanya Unapoamka Asubuhi.
Vile unavyoianza siku yako inaweza kuwa sababu ya kuwa na siku mbaya sana au siku nzuri sana. Kuna makossa unaweza kuwa unayafanya bila kujua wakati unapoamka…
-
June 20, 2017
HATUA YA 178: JITOE SADAKA
Wakati mwingine inakubidi ujitoe sadaka tu kama mambo hayaendi. Umeona hakuna njia inayofaa katika zile zote ulizokuwa unazitarajia. Kuna nyakati sasa inakubidi ufanye jambo…
