HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
June 5, 2017
HATUA YA 165: USISUBIRI MACHUNGWA CHINI YA MTI WA MNAZI
Mafanikio yako ni kama unavyotesha mti wa Mwembe au unavyopanda mahindi. Mwembe Unachukua muda mrefu sana zaidi ya miaka kadhaa hadi uanze kutoa matunda yake (sio…
-
June 4, 2017
HATUA YA 164: Kitu gani Unakipa Muda Mwingi Zaidi?
Wanadamu wote Tuna muda sawa ambao ni masaa 24 kila siku. Yaani kila mmoja ana mchana na usiku. Hakuna ambaye muda wake umepunjwa. Kinachofanya mtu aonekane…
-
June 2, 2017
HATUA YA 163: Ukikaa na Marafiki Zako Mnazungumza Nini?
Marafiki waliokuzunguka wana mchango mkubwa kwako katika kukuangusha au kukufanya usimame. Hii ni kutokana na muda mwingi mnapokuwa pamoja lazima muwe mnazungumza. Sasa swali…
-
May 30, 2017
HATUA YA 162: Huyu Ndio mtu Maskini Kuliko Wote Duniani..
Umaskini sio kukosa vitu, Umaskini ni kubaki na vitu vilivyopo ndani yako bila kuvitoa kwenye dunia hii. Mtu pekee aliekufa masikini ni yule alieondoka na vitu…
-
May 29, 2017
HATUA YA 161: Kama Sio Mimi…
“Kama Sio Mimi Kumsaidia Asingefika Pale” Inawezekana umeshakutana na kauli hii mahali au ni wewe ulishaitamka. Embu itafakari uone ni kwa namna gani inaweza kuwa chanzo…
-
May 27, 2017
HATUA YA 160: Mtu Huyu Kaa Nae Mbali..
Tunazungukwa na watu wengi sana katika kazi zetu na maisha yetu ya kila siku. Kuna baadhi ya watu ni sumu ya mafanikio yetu. Wanakuwa sumu kwa…
-
May 26, 2017
HATUA YA 159: Hizi Ndio Kelele Unazotakiwa Usisikilize..
Wakati unafanya maamuzi ulikuwa mwenyewe, wakati unaamua kupambana kwa namna yeyote ili utimize ndoto yako ulikuwa na watu wachache sana. Lakini sasa hivi unavyoanza kutembea…
-
May 25, 2017
HATUA YA 158: Muonekano wa Nje Unavutia Sana…
Kwa nje anaweza kuonekana ni mtu mzuri kuanzia sura yake, kauli zake, na tembea yake lakini ndani yake kuna mengi yanakuwa yamejificha. Ni bora sana mtu…
-
May 24, 2017
HATUA YA 157: BIASHARA NI MATANGAZO.
Habari za Leo Rafiki na Mwanamafanikio. Ni matumaini kwamba unaendelea vyema na harakati za kufikia mafanikio yako. Siku zinakwenda kila siku, tarehe zinabadilika, majira yam…
-
May 23, 2017
HATUA YA 156: Watu wanafahamu zaidi Jana.
Picha ya maisha yako iliyoko vichwani mwao ni maisha yako yaliyopita.Wanakumbuka zaidi mambo ambayo ulishayafanya siku kadhaa zilizopita.Wanakumbuka hali ya umaskini waliokuwa…
-
May 20, 2017
HATUA YA 155: Mbegu Yako Unapanda Wapi?.
Mbegu ndio chanzo cha matokeo ya vitu mbalimbali kwenye dunia hii. Kila mtu ana mbegu ndani yake. Iwe mbegu njema au mbegu ovu, kila binadamu ana…
-
May 19, 2017
HATUA YA 154: Penzi Changa..
Inawezekana umeshangazwa na kichwa ambacho kinaenda leo. Ni kweli leo nataka tuangalie juu ya vitu ambavyo mara ya kwanza huanza kwa hamasa kubwa lakini ukishaanza kuingia…
