HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
July 20, 2017
HATUA YA 201: Ukitaka Kutumia Zaidi..
Kanuni ya Umaskini ni kutumia Zaidi ya unachozalisha. Kama unataka kubakia kuwa maskini endelea kuwa na matumizi makubwa kupita uwezo wako wa kuzalisha. Kama wewe ni…
-
July 19, 2017
HATUA YA 200: Pima Kazi Yako Hivi.
Leo ni siku ya 200 mfululizo tangu nimeanza kuandika. Unaweza kufikiri ni kitu rahisi lakini sio kitu rahisi maana ili uandike lazima ujilazimishe kufikiri sana. Sasa…
-
July 18, 2017
HATUA YA 199: Wasikilize Lakini Amua Wewe.
Kwenye vitu tunavyovifanya kila siku tunakutana na maoni ya wengine kila siku. Jambo la muhimu ni kwamba usikatae kupokea maoni ya watu. Kitu unachotakiwa ni kuyachuja…
-
July 17, 2017
HATUA YA 198: Ukikosa Vipaumbele.
Ukikosa vipaumbele huwezi kujua ni nani anastahili muda wako Zaidi ya wengine hivyo utakua unapoteza muda hata kwa watu wasio wa muhimu. Ukikosa vipaumbele huwezi…
-
July 16, 2017
HATUA YA 197: Tengeneza Mazingira.
Kuku anapotaka kutaga kwa mara yake ya kwanza lazima atafute sehemu nzuri na aitengeneze ili aweze kutaga vizuri. Kwa bahati mbaya sana kuku hana akili hivyo…
-
July 15, 2017
HATUA YA 196: Kuna Mahali Ulisababisha.
Mambo mabaya yote yanayotokea kwenye Maisha yako sio kwa bahati mbaya kuna mahali uliyasababisha yakatokea. Badala ya wewe kuchukua muda mwingi kulaumu na kulalamika jiangalie…
-
July 14, 2017
HATUA YA 195: Kizazi cha Kuona Kwanza na Kuamini.
Tupo kwenye kipindi ambacho watu wake hwaamini tena mpaka waone. Kizazi ambacho hakiamini matendo ya Imani mpaka kione kwa macho ya damu na nyama. Tuna watu…
-
July 13, 2017
HATUA YA 194: USIKUBALI PESA IKUTAWALE.
Mojawapo ya dalili za kuanguka kimafanikio ni pale pesa inapoanza kumtawala mtu. Tunaposema mtu ametawaliwa na pesa ni pale pesa inapofanya maamuzi badala ya mwenye pesa…
-
July 12, 2017
HATUA YA 193: Ukitaka Kuaminika…
Ukitaka kuaminika usiwe mtu wa kubadilika badilika kutokana na mazingira uliyopo au unapokuwa na watu wa aina Fulani. Ukitaka kuaminika kuwa wewe siku zote. Ukitaka kuaminika…
-
July 11, 2017
HATUA YA 192: Vitu 2 Unavyotakiwa Kuvijua Ili Uwe na mwelekeo wa Maisha Bora.
Kitu ambacho kila mmoja anakipigania ni Maisha bora. Na maisha bora ni pale unapopata kile unachokitaka pamoja na kufurahia Maisha yako kwa ujumla na kile unachokifanya. Tuki…
-
July 9, 2017
HATUA YA 191: Usiishi Maisha ya Dharura.
Kuna dharura zinajitokeza wakati upo kwenye shughuli zako na kuna dharura zinatokea na wewe upo upo tu hujui cha kufanya. Kama utashindwa kutofautisha vitu vya dharura…
-
July 5, 2017
HATUA YA 189: Mbinu 3 za Kuweza Kuwa Wiki Bora.
Maisha yako yapo mikononi mwako, ukishindwa kupangilia siku yako vizuri unapanga kuipoteza. Ili uweze kuwa na juma lenye uzalishaji bora ni vyema ukawa na ratiba yako…
