HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
August 14, 2017
HATUA YA 216: Uliza Maswali.
Tatizo la wengi na linasosababisha tunapotea katika vitu visivyoeleweka ni kutokuuliza maswali. Wewe kama mwanadamu tofauti yako na Wanyama wengine ni uwezo wako wa kufikiri.…
-
August 12, 2017
HATUA YA 214: Mtu Huyu Unamwachaje?
Imekuwa ni tabia ya wengi kukutana na watu mnazungumza mengi sana kuhusu Maisha na wakati mwingine kufahamiana kwenye mambo mbalimbali ya Maisha. Sasa ni vyema uwe…
-
August 11, 2017
HATUA YA 213: Unajionaje?
Haijalishi watu watasema nini juu ya Maisha yako, haijalishi wataongea nini kinachojalisha ni mwitikio wako kwenye yale maneno yao. Haijalishi mtu amekutukana matusi makubwa k…
-
August 4, 2017
HATUA YA 211: Hakuna Tena Wa Kukuchapa.
Ulipokuwa mdogo kuna mambo ulikuwa ukifanya kinachokuja kufuata ni viboko.Mfano ukikutwa umepanda juu ya mti, umegusa vitu ambavyo uliambiwa usiguse. Na mengine mengi unayoku…
-
July 31, 2017
HATUA YA 209: Hii Ndio Siri ya Kutoingia Kwenye Madeni.
Inawezekana Umekuwa Mtumwa wa madeni na hayaishi kila siku unajikuta unatengeneza madeni mapya. Suluhisho sio kuwa na pesa nyingi bali ni kuwa na nidhamu. Kwasababu hata…
-
July 28, 2017
HATUA YA 208: Unatumiaje Kidogo Ulichonacho?
Kabla Hujawaza kupata laki tano ya kuanzia biashara anza kuonyesha uwezo wako wa kutumia elfu hamsini. Kama ukishindwa kujua utaitumiaje elfu hamsini hata laki tano utashindwa…
-
July 26, 2017
HATUA YA 207: Maneno Unayotakiwa KUJISEMESHA MWENYEWE UNAPOAMKA ASUBUHI
Kujisemesha mwenyewe ni njia nzuri sana ambayo unaweza kuitumia kutengeneza siku ambayo ni bora sana. Vile vile kwa kujisemesha mwenyewe kutakuasaidia USIISHIE NJIANI kwenye l…
-
July 25, 2017
HATUA YA 206: Maisha Halisi na Maisha ya Picha.
Siku hizi tumefikia sehemu ambayo kila mmoja anaweza kuonyesha kile anachokifanya kwenye mitandao ya kijamii. Hii imefikia hadi watu kuonyesha tabia zao na pia jinsi wanavyois…
-
July 24, 2017
HATUA YA 205: Ukijikuta Kwenye Shimo.
Warren Buffett — ‘The most important thing to do if you find yourself in a hole is to stop digging.’ Kitu cha Mhuhimu sana cha kufanya pale unapojikuta kwenye…
-
July 23, 2017
HATUA YA 204: Kama Watu Hawa Wameisha Kuwa Mmoja Wao.
Ulishafika mahali ukaona labda dunia haina tena watu wema?Ulishatendwa kiasi kwamba ukahisi duniani watu waaminifu hakuna hata mmoja?Watu wamekufanyia mabaya kiasi kwamba ukaf…
-
July 22, 2017
HATUA YA 203: MILIKI MAISHA YAKO
Kama kuna mtu kila anachosema au anachotaka unaitika ndio, bila kuangalia kipo kwenye utaratibu au hakipo, kitaathiri ratiba zako au maisha yako au lah. Huyo mtu…
-
July 21, 2017
HATUA YA 202: Ondoka Nyumbani.
Sehemu uliyoizoea ndio inafanya uwe na hali uliyonayo sasa hivi. Kama hapo ulipo unapata kila unachokitaka jiulize je utaendelea kupata unachokitaka kwa muda gani? Kama ukiona…
