HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
September 7, 2017
HATUA YA 232: Fanya Kila Siku.
Chagua kitu ambacho utakifanya kila siku hadi kikutoe. Chagua vitu ambavyo utavifanyia kazi kila siku hadi uwe bora. Ni kwambie ukweli kama siku inapita na hakuna…
-
September 6, 2017
HATUA YA 231: Mgodi Pekee unaomiliki hapa Duniani ni Huu.
Kila mwanadamu amezaliwa akiwa amekamilika ndani yake. Hata kama atazaliwa bila ya viungo baadhi kwenye mwili wake lakini bado anakuwa amekamilika katika vitu vya muhimu sana…
-
September 5, 2017
HATUA YA 230: KWANINI UNATAKIWA UPAMBANE NA HALI YAKO?
Huu msemo umekuwa maarufu sana kipindi hiki. Leo nataka nikuambie kwanini upambane na hali yako. kama ulikuwa hujui basi ni muhimu sana ukafahamu kwamba unatakiwa upambane…
-
August 31, 2017
HATUA YA 227: Hakuna Mbadala wa Kitu Hiki.
Katika kila kitu ambacho mtu anafanya mara nyingi wengi hupenda kutafuta njia rahisi. Hata kama ni safari wengi hupenda kutafuta shortcuts ambazo zitawafikisha kwa haraka. Una…
-
August 30, 2017
HATUA YA 226: Jisikilize Zaidi.
Kama kuna mahali panachosha Zaidi kwa kipindi hiki ni kwenye dunia. Kuna kelele nyingi sana ambazo zinaweza kukufanya ukakosa utulivu kwenye kile ulichoamua kukifanya. Kuna wa…
-
August 29, 2017
HATUA YA 225: Unautumiaje Muda wa Ziada?
Mojawapo ya sababu wengi wanaitumia juu ya kwanini hawana kitu kingine wanafanya ni kukosa muda. Lakini ukija kumuuliza maswali Zaidi unakuja kugundua huyu mtu ana muda…
-
August 23, 2017
HATUA YA 223: Haitakuwa Rahisi Ila..
Haitakuwa Rahisi Lakini Inawezekana. Ndoto yako kutimia haitakuwa rahisi lakini inawezekana kutimia. Kinachotakiwa ni wewe kutambua kwamba inawezekana kutoka ndani yako. Inata…
-
August 22, 2017
HATUA YA 222: Kujitetea Hakubadilishi Ukweli.
Nilipokuwa mdogo nakumbuka ilikuwa unapoharibu jambo mama akirudi unakimbilia kusema mabaya ya wenzako waliofanya. Unasema hivi ili kujipunguzia adhabu ya kosa lako. Lakini…
-
August 21, 2017
HATUA YA 221: Jifunze kwa Mgahawa wa Maisha
Mimi binafsi ninapokwenda mgahawani kwa ajili ya kupata chakula au kinywaji nikifika nikashindwa kuhudumiwa vizuri hua ninaondoka. Kwasababu gani? Kwasababu kama huwezi kunish…
-
August 20, 2017
HATUA YA 220: Jifunze Kwa Kuku.
Yapo mambo mengi tunaweza kujifunza kupitia hayo kama tu tutaweza kuyatazama kwa jicho la kujifunza. Kama utashindwa kutazama kwa jicho la kujifunza utaendelea kuyaona mambo k…
-
August 16, 2017
HATUA YA 217: Hiki Ndio Kinakuzuia Kufanikiwa.
Umeamua Kuyatafuta mafanikio lazima ukubali kujikana uache kuishi yule mtu wa zamani ambaye alikuwa hakuletei maendeleo. Huwezi kusonga mbele kama bado umeshikilia tabia zile…
-
August 14, 2017
HATUA YA 215: Tatizo lako lipo Hapa.
Ni rahisi kukua umri lakini sio kiufahamu. Ni rahisi sana kukua kiumri kwasababu kila siku mpya unakuwa umeongezeka umri lakini kiufahamu unaweza kubaki palepale hadi uongeze…
