HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
October 2, 2017
HATUA YA 245: MVUA NA JUA.
Kama ilivyo vipindi na majira ya mwaka kuna nyakati kuna mvua na kuna nyakati kuna jua vilevile ndivyo yalivyo maisha yetu. Haiwezekani ukasema unataka jua liwake…
-
October 2, 2017
HATUA YA 244: Tenda Wema Nenda Zako.
Ubinafsi ni kile kitendo cha kutaka kupata wewe peke yako na wengine wakose. Kitendo cha kutokujali wengine na kujifikiria wewe mwenyewe. Kujitoa kwa ajili ya wengine…
-
October 2, 2017
HATUA YA 243: Ukichunguza sana Hutafanya.
Kama kuna kitu umeamua kukifanya unachotakiwa ni kuchukua hatua sasa na kuanza. Mara nyingi wengi wanasema nitaanza tu, lakini baada ya muda ukimuuliza vipi ile biashara…
-
October 2, 2017
HATUA YA 242: Hatua Unazopaswa kuzifuata Upate Mwelekeo wa mzuri wa Maisha
Moja ya makosa ambayo unaweza kuyafanya kwenye maisha yako ni kutokujua ni wapi unakwenda. Kitu cha pili ambacho utakuwa unaendelea kukosea ni unapojua unataka kuwa nani…
-
October 2, 2017
HATUA YA 241: Tukio la SIku Moja.
Ni kweli tukio la siku moja linaweza kubadilisha sura ya maisha yako kabisa yalivyo kuwa kwenda kwenye historia nyingine. Tukio hili la siku moja linaweza kuwa…
-
October 2, 2017
HATUA YA 240: Tatizo Lipo Ndani Yako.
Nimekutana na watu wenye uwezo mdogo, wana kiwango kidogo lakini wanafanya mambo makubwa sana. Wapo ambao hawana elimu kubwa uliyonayo wewe lakini wamefika mbali sana. Kuna…
-
October 2, 2017
HATUA YA 239: UKipewa Nafasi Ya Kurudi Nyuma Utarekebisha Wapi?
Swali moja ambalo napenda kuwauliza watu ambao wako mbele Zaidi yangu kwenye mafanikio katika Nyanja zote, kiafya, kiroho, kimahusiano na pia kifedha au kwenye biashara ni…
-
October 2, 2017
HATUA YA 238: Kwanini Usifanye Maamuzi Hisia Zikiwa Juu?
Kuna aina nyingi za hisia kama hisia za hasira, furaha, hamasa, chuki, na nyinginezo unazozijua. Hisia zote hizi unaweza kuzigawa katika makundi mawili ili uelewe vizuri…
-
September 20, 2017
HATUA YA 236 Wewe Upo Kundi lipi?
“Strong minds discuss ideas, average minds discuss events, weak minds discuss people.” ― Socrates Mwanafalsafa wa zamani sana aitwaye Socrates aliwahi kusema akili kubwa zina…
-
September 19, 2017
HATUA YA 235: DUNIA IMEJITOSHELEZA.
Ni ajabu sana kuona watu wakigombana kwasababu ya mali au vitu ambavyo vinaweza kupatikana kwa kutafuta kwa bidii. Ni jambo la kushangaza kuona mtu anamchukia mwenzake…
-
September 18, 2017
HATUA YA 234: Simama Upigane au Potea Kabisa.
Upoanguka wakati wa changamoto unakuwa na maamuzi ya aina mbili. Moja ni kusimama na kuendelea kupigania ushindi au kupotea kabisa. Unapoamua kupotea unakuwa umekubali ugumu w…
-
September 10, 2017
HATUA YA 233: Wewe Unafanya Kitu gani kati ya Hivi?
Kutengeneza Pesa na Kutafuta Pesa. Mojawapo ya njia ya kujitengenezea umaskini siki zote za maisha yako ni kubakia unatafuta pesa maisha yako. Kama unataka ufikie uhuru…
