HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
October 15, 2017
HATUA YA 257: Kuna Mtu Katoka Jasho.
Kuna msemo wa wahenga unasema ukiona vyaelea ujue vimeundwa. Yaani chochote kile unachokiona kimependeza kwa nje unatakiwa ujiongeze kwamba kuna watu tena inawezekana wasiojul…
-
October 14, 2017
HATUA YA 256: Dunia Inakuhitaji?
Ni vyema kujiuliza na kujijibu kama kweli dunia inakuhitaji uendelee kuwepo hapa duniani. Lazima ujiulize hivi siku ukiondoka ni wakina nani wataguswa sana na kifo chako?…
-
October 13, 2017
HATUA YA 255: Unataka Kwenda Hatua Nyingine?
Unataka Kwenda hatua ya juu Zaidi? Lazima ukubali kupitia mitihani ya kukupima kama unaweza kukaa kwenye hatua inayofuata. Kama hutaki kupita kwenye mitihani huwezi kupanda ha…
-
October 12, 2017
HATUA YA 254: Huwezi Kupokea Mabadiliko kwenye Akili ya Zamani.
Kama wewe ni mtumiaji wa simu na unatumia hizi apps najua utakuwa umekutana na kitu kinakwambia update. Maana yak update ni kama kuboresha au kuongeza kitu…
-
October 11, 2017
HATUA YA 253: Hizi Ndio Nyakati za Kujua Kwanini Ulianza Unachokifanya.
Kwenye maisha kuna nyakati huwa zinatufikia ambazo zinakuwa ni kipimo ambacho kinaonyesha ukweli wa makusudi yetu kwa yale tuliyokuwa tunataka au tayari tunafanya. Unaweza kuk…
-
October 10, 2017
HATUA YA 252: Uko Hivyo Ulivyo Kwa Kuamua.
Wako waliopitia changamoto kubwa kuliko wewe lakini hawajakata tamaa. Wako ambao walipata hasara kubwa sana kuliko hyo ambayo unajitetea nayo lakini bado wakasonga mbele na sa…
-
October 9, 2017
HATUA YA 251: Madhara ya Kuupuzia Vitu Vidogo Vidogo.
Tofali hujengwa kwa mkusanyiko wa punje moja moja za mchanga ambazo unaweza kuzibeba mkononi mwako lakini hujenga tofali ambalo huwezi kulibeba kwa mkono mmoja. Tofali nalo…
-
October 8, 2017
HATUA YA 250: Mambo 4 ya Kufanya ili Kujenga Mahusiano Bora na Wengine.
Maisha yako hapa duniani ni kwa ajili ya wengine. Haiwezekani ukaishi maisha ya furaha na Amani kama hakuna unachokifanya kwa ajili ya kugusa maisha ya wengine.…
-
October 7, 2017
HATUA YA 249: Kwanini Unahitaji Watu wote? (Wanaokupenda na Wasiokupenda)
#SITAISHIA_NJIANI ✈-Napiga hatua kuelekea mafanikio yangu. ❗-Navumilia kila hali na changamoto nitakayopitia njiani. ?-Najifunza kila siku na kuweka kwenye matendo yale ninayo…
-
October 6, 2017
HATUA YA 248: Unaambatana na Nani?
Ni bora mara elfu kukaa ndani peke yako kuliko kuambatana na marafiki wapumbavu. Ni bora kuishi ndani ya nyumba peke yako kuliko kujichanganya na makundi yasiyofaa.…
-
October 4, 2017
HATUA YA 247: Watu Wanapenda Hali Walizozizoea.
Unajua ni kwanini watu hawapati mabadiliko kwenye maisha yao? Au wakianza jambo Fulani baada ya muda mfupi wataacha na kurejea katika hali ile ya kawaida? Inawezekana…
-
October 3, 2017
HATUA YA 246: Ukweli Unauma.
Ukitaka watu wakuchukie waambie ukweli. Ukitaka kupingwa na kila mtu simamia ukweli. Ukitaka kupata wafuasi wachache wewe simamia ukweli wale wanaopenda kudanganywa wataona hu…
