HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
October 28, 2017
HATUA YA 267: Nipo Hapa tangu 96!
Siku moja nikiwa maeneo ya stand nikakutana na watu wawili wakigombania Tsh elfu mbili mmoja katika hasira sana akamwambia mwenzake wewe mbona unakuwa kama umekuja stand…
-
October 27, 2017
HATUA YA 266: Hili Ndio Bomu Unalojitengenezea Kila Siku.
Katika Maisha vipo vitu vingi tunafanya mara nyingi ni kwa kuiga yale ambayo wengine wanafanya, mengine tunaangalia tangu zamani walikuwa wanafanya na mengine ni asili yetu…
-
October 25, 2017
HATUA YA 265: Mambo Yakufanya Ili Kuacha Tabia Mbaya yeyote.
Yafanya wasiwe na maisha bora na mojawapo ya hayo mambo ni tabia mbaya. Tabia hizi nyingi zimekuwa ni tatizo kwenye maisha ya watu kwani kuziacha imekuwa…
-
October 24, 2017
HATUA YA 264: Unakuwa Kile Unachoamini.
Unakuwa Kile unachokiamini, kuamini kunakuja kwa kupitia njia mbalimbali kwanza ni kusikia, kuona, na wakati mwingine kusoma. Tukianza na kusikia kama akili yako na ufahamu wa…
-
October 23, 2017
HATUA YA 263: Vile Usivyotaka Kuonekana.
Kuna aina Fulani ya maisha ambayo mara nyingi unapenda watu wajue kuwa unayo au unayaishi lakini katika uhalisia hauishi maisha hayo. Ni kwekli sio sawa kuonyesha…
-
October 21, 2017
HATUA YA 262: Mambo 5 yatakayokufanya Uendelee Kubakia Hapo Ulipo.
Mara nyingi unaweza kukutana na mtu anasema “Ningekuwa na Mtaji wa shilingi fulani ningefanya biashara Fulani” sasa ukimuuliza mawazo yako ni mazuri sana sasa unafikiri huo…
-
October 20, 2017
HATUA YA 261: Ni Kweli Huna Muda?
Ukiona mtu anakwambia hana muda au yuko bize sana wala usiumize kichwa sana unatakiwa ujue kwamba huyo mtu hajaamua kulipa lile jambo lako kipaumbele au hajaamua…
-
October 19, 2017
HEKIMA YA JIONI -2
Ukisema unangoja mambo yawe mazuri ndio ufanye biashara, au ununue kitabu, au uanze kile kitu ulichokuwa unakitaka nikwambie ukweli unajidanganya. Kama hiyo hali mbaya uliyona…
-
October 19, 2017
HEKIMA YA JIONI-1
Watu wengi wamekuwa waoga hasa pale wanapojilinganisha na wengine na kujiona wao ni wa kawaida na hivyo kushindwa kujitambulisha vyema wanapokutana na wengine. Unaweza kufanya…
-
October 18, 2017
HATUA YA 260: Vitu Hivi Unavyoviruka Vitakutesa Baadae.
Kuna michezo kama hukuicheza ukiwa mdogo huku ukubwani itakuja kukusumbua. Hili lina ukweli wake kiasi Fulani japo sio kwa mambo yote. Tukija kwenye upande wetu wa…
-
October 17, 2017
HATUA YA 259: Ni Dharau au Ni Hisia Zako.
Nimezoea kuona watu wengi ambao wako chini kwenye vitu Fulani kuwaona wenzao waliowapita kama wana dharau sana. Mfano mtu mwenye bodaboda atasema watu wenye magari wana…
-
October 16, 2017
HATUA YA 258: Moyo Wako Uko Wapi?
Mojawapo ya sababu ambazo zinawafanya watu waharibu kazi za wengine ni kufanya kazi huku mioyo yao iko sehemu nyingine kabisa. Wewe umekuwa mwalimu kwasababu uliona ndio…
