HATUA ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
November 20, 2017
HATUA YA 279: Ni Ushindi Mdogo, Mdogo.
Kwa kawaida hakuna kitu kimoja unachoweza kufanya kikakufikisha kule unakotaka moja kwa moja. Hapa nikiwa na maana ya kwamba ukitaka kuvuna mahindi gunia mia unatakiwa upande…
-
November 18, 2017
HATUA YA 278: Jiulize Swali Hili Kama Hujajua cha Kufanya.
Inawezekana umefika sehemu unaona kwamba haiwezekani kabisa. Umeanza kuona hali uliyonayo ndio ulitakiwa hivyo. Wakati mwingine umeshaanza na kusema kwamba wewe ulizaliwa uwe…
-
November 15, 2017
HATUA YA 277: Nenda Zaidi ya Uwezo Wako.
Kuna nyakati ili upate matokeo Zaidi ya unayopata sasa hivi utapaswa kufanya vitu ambavyo hujawahi kufanya, utatakiwa kuongea na watu ambao hujawahi au hujazoea kuongea nao.…
-
November 14, 2017
HATUA YA 276: Umejitoa Kwenye Nini?
Umejitoa kwenye nini? Vitu gani unafanya kila siku na unatarajia kufikia makubwa miaka michache ijayo? Malengo yako yanahusu nini Zaidi? Vipaumbele vyako vimegusa kwa vile vit…
-
November 13, 2017
HATUA YA 275: Kuna Tumaini.
Pamoja na mambo magumu unayopitia kwenye maisha yako kukataliwa, kuachwa, kusemwa vibaya tambua kwamba bado lipo Tumaini. Unapoona giza limeongezeka ujue kunakaribia kuwa asub…
-
November 12, 2017
HATUA YA 274: Unaufahamu Udhaifu Wako?
Kila binadamu kuna sehemu ambayo inakuwa ni rahisi sana kwake kufanya makosa hasa inapotokea ameingia katika mtego. Haiwezekani hata siku moja ukafikia ukuu kwenye kile unacho…
-
November 10, 2017
HATUA YA 273: Ipo Sababu
Kila linalotokea kwenye maisha yako linatokea kwasababu usiwe mwepesi wa kulaumu au kulalamika wakati mwingine utajikuta unakosea. Kuna nyakati unaweza kuona umepatwa na mabay…
-
November 8, 2017
HATUA YA 272: Kama Umeamua Kwenda Nenda.
Kutazama tazama nyuma kumekuwa sababu ya wengi kugeuka na kurudi walipotoka. Wakati changamoto zimekuwa nyingi kwenye safari yako ndio wakati hasa wa kutazama mbele badala ya…
-
November 7, 2017
HATUA YA 271: Tabia Hii Inakuwekea Miiba mbele ya Safari.
Katika maisha kuna mambo tunafanya kwa kujua ama pasipo kujua na mambo hayo yanakuja kuwa miiba katika safari za mafanikio yetu. Ni vyema sana ukatambua unachokifanya…
-
November 5, 2017
HATUA YA 270: Wanakupenda sana ila wanakuharibia Bila Kujua.
Kama ukipata tatizo lolote kwenye maisha yako kuna sehemu ukienda ukajieleza tu unaeleweka na tatizo lako linatatuliwa unaweza kufikiri kwamba upo sehemu nzuri sana. Ukweli ni…
-
October 31, 2017
HATUA YA 269: Huhitaji Kikubwa Sana.
Mara nyingi tunafikiri ili ufikie hatua kubwa kwenye maisha lazima uanze na mwanzo ambao ni mkubwa sana. Usifikiri kwamba ukiwa na vitu Fulani na Fulani basi…
-
October 29, 2017
HATUA YA 268: Swali La Kujiuliza Unapojua Unachokitaka.
Kujua kile unachokitaka ni jambo la kwanza, kinachofuata ni kufahamu gharama ambazo unapaswa kulipa ili kufika pale unapotaka. Wengi wanaishia kwenye kujua wanachotaka na kuka…
