AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
January 15, 2020
HEKIMA 518; Usipokee wala Kutoa Ushauri Wowote.
Kulikuwa na Bwana Mmoja alikuwa anafanya biashara ambayo inamlazimu sana kuzungumza na watu kila wakati. Yaani ili auze lazima aongee na mtu. Sasa kwasababu hiyo akajikuta…
-
January 14, 2020
517; Kupanga ni Rahisi, Kazi Kutekeleza.
Imekuwa ni kawaida sana kila Tunapouanza mwaka mpya kila mmoja hukimbizana na kupanga malengo ya mwaka mpya. Kuna wanaojua kupanga vizuri sana, kuna ambao hawajui hata…
-
January 10, 2020
516; Nimegundua Njia ya Kutatua Tatizo lako la Kutofikia Malengo Yako Ya Kifedha.
Habari Rafiki, unajua matatizo mengi uliyonayo yanasababishwa na ukosefu wa fedha za kutosha. Na kinachosababisha haya yatokee kwako ni wewe pale unapokosa vitu vichache sana…
-
January 10, 2020
515; Sehemu 3 Muhimu sana za Kuwekeza kwenye Maisha Yako Kila Siku.
Hello Rafiki yangu, leo ni siku ya kumi yam waka 2020 siku zinaendelea kukatika bado kidogo tutasikia mwaka upo nusu. Je bado waendelea kusubiria kidogo ndio…
-
January 9, 2020
Jijengee Tabia ya Kuweka Akiba.
Habari rafiki, hongera kwa kuchukua hatua ya kutaka kujijengea tabia ya kuweka akiba. Hii ni tabia ambayo watu wachache sana wanayo na imewawezesha kuishi maisha ya…
-
January 9, 2020
514; HEKIMA YA LEO Upendo Ni Amri
Siku zote amri inapotolewa kinachofuata huwa ni Utii na unaposhindwa kutii amri maana yake wewe unakuwa muasi. Kwa serikali zetu ukiasi kinachokujia ni hukumu wakati mwingine…
-
January 8, 2020
513; Bwana Yesu Asingesema Kuwa Atarudi Tena Ingekuaje?
Heri Ya Mwaka Mpya, naamini umevuka salama kabisa . Leo nimekuwa nawaza kitu hapa, cha ajabu sana ila utanisamehe kama utaona naenda nje ya misingi yako…
-
December 18, 2019
512; Mimi Ni Mtenda Dhambi Kuliko Wewe.
Siku Moja nilikuwa nawaza hivi, “Siku Nikifa Nikakuta hakuna Mungu Nitacheka Sana”, Sauti nyingine ndani yako Ikasema, “Hapo Utakapokuwa Unachekea ni Nani Huyo Atakuwa Amekute…
-
December 17, 2019
511; Unakimbilia Wapi? Tazama Pembeni Yako.
Haya Ndio Maisha yetu kwenye vitu vingi tunavyopitia kila siku, Soma kisa hiki ujifunze: “Habari kaka Jacob, ninaomba ushauri wako kuhusu hili. Ni mwaka wa tatu…
-
November 13, 2019
510; Ninajihisi Kama Mtu Aliekwama Kwenye Tope.
“Kaka Jacob naomba ushauri wako, sijui hata nifanyeje, huu ni mwaka wa 5 sasa nimekuwa najaribu kuingia kwenye mahusiano tofauti tofauti lakini naambulia kuachwa na kuumizwa.…
-
October 2, 2019
509; Penda Tatizo Unalotatua.
Nipo natazama nyimbo YouTube nimekutana na wimbo uliwekwa mwaka 2009. Huo wimbo kwa mimi kuutazama leo pamoja na wengine wengi huyo mwimbaji atalipwa na YouTube (Google)…
-
September 19, 2019
VIDEO: Mambo 4 ya Kufanya Unapoamka Asubuhi.
Usiache Ku Subscribe ili ujifunze kwa video nyingine zaidi.
