AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
March 22, 2019
476; Unahitaji Watu Zaidi Kuliko Unavyohitaji Pesa.
Mtu Tajiri kuliko wote duniani kwa haraka haraka ukifikiria unaweza kudhani kilichomfanya akawa Tajiri ni pesa zake au akili zake pekee. Ila ukija kutafakari katika upande…
-
March 19, 2019
473; Mawazo Ya Mungu Si Kama Ya Mwanadamu.
Kuna namna ambavyo wanadamu tumekuwa tunajaribu kumtafsiri Mungu katika uelewa wetu kitu ambacho tunasahau ni kwamba uelewa wetu bado ni wa kibinadamu. Hivyo kwa vyovyote bado…
-
March 18, 2019
471; MAMBO 7 WANAYOFANYA MASKINI LAKINI MATAJIRI HAWAYAFANYI KABISA.
Kinachokufanya uendelee kubaki hapo ulipo ni kwasababu unataka kufanya kile ambacho kila mtu anafanya na atakikubali. Unajua hata ukileta bidhaa yako sokoni ikakubaliwa na kil…
-
March 18, 2019
470;USHAURI: MUONDOE CHUMA ULETE HUYU KWENYE PESA ZAKO.
Mojawapo ya vitu vinavyowafanya watu waishi maisha ya magumu sana hapa duniani ni kukosa namna bora ya kupangilia na kuendesha maisha yao. Kingine ni kwamba wengi…
-
October 24, 2018
400: Hakuna AnaeKulazimisha.
Ulipokuwa mtoto kuna nyakati ulikuwa ukichelewa kuamka unakuja kuamshwa na viboko au wakati mwingine unamwagiwa maji. Kuna wakati pia ulikuwa unalazimishwa kusoma kwa bidii na…
-
March 1, 2018
HATUA YA 303: Jinsi Gani Kijana Aisafishe Njia Yake?
Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako. ZABURI 119:9 Kwa dunia ya sasa ambayo imejaa kila aina ya uovu hasa katika kundi…
-
February 16, 2018
HUU NDIO UKWELI ULIKUWA HUUJUI JUU YA PESA.
Habari za Leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Wewe ni rafiki yangu wa muhimu sana kwakuwa ndie unanifanya niandike. Naandika ili usome unufaike na maisha yako…
-
November 21, 2017
KINACHOWATOFAUTISHA MATAJIRI NA MASKINI NI HIKI.
Ili uweze kutoka hapo ulipo sasa na kufika sehemu nyingine walipo watu wenye mafanikio makubwa ni muhimu sana kujua ni kitu gani kinawafanya muwe tofauti. Ni…
-
September 2, 2016
MAMBO 5 YA MUHIMU ILI UWEZE KUFIKIA NDOTO ZAKO.
Habari za leo ndugu msomaji wa mtandao huu ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na kupambana katika kutimiza ndoto zako. Leo ninakwenda kukupa njia mambo ya muhimu…
