AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
May 18, 2020
530; Unavyovihofia Vingi Havipo Kwenye Uhalisia.
Habari ya siku rafiki, pole kwa changamoto ya Ugonjwa huu wa COVID-19. Nakutia Moyo usiogope tunakwenda kuvuka pamoja. Kila kitu hutengenezwa kuanzia kwenye akili zetu. Furaha…
-
April 9, 2020
529; HEKIMA: Ongeza Viwango Vyako Vya Kufikiri.
Habari Rafiki yangu, leo ni siku ya pekee sana kwangu, kwani ndio siku nilizaliwa, naikumbuka hii tarehe na ninafurahi pamoja nawe. Nimekuandikia Makala hii uifurahie pamoja…
-
March 15, 2020
528; HEKIMA: Hakuwa Wako.
Kama alikuumiza kisha akaondoka hakuwa wako. Au tunaweza kusema muda wake wa kuendelea kuwepo kwako ulifika na njia ya kuondoka kwa ilikuwa lazima wewe uumie kwasababu…
-
February 20, 2020
527; HEKIMA: Kinyozi Anapokosea Kukunyoa.
Kinyozi anapokosea kukunyoa bila kujali amekosea kiasi gani siku zote baada ya muda Fulani nywele huota tena na utaweza kunyoa vile unavyotaka. Unapopoteza fedha haijalishi ni…
-
February 13, 2020
526; HEKIMA: Sumu Niliyowekewa Kwenye Chakula.
“Ilikuwa ni siku za mwisho wa mwaka ambapo tulikuwa na utaratibu wa kwenda kuwasalimia ndugu na jamaa ambao hatujawaona miaka mingi. Katika kuwatembelea ndugu jamaa na…
-
February 7, 2020
525; HEKIMA: Ni Wewe.
Ni wewe utawajibika pale unapoingia kwenye matatizo bila kujali ni nani aliyeyasababisha. Ni wewe utatakiwa kuchukua hatua pale mambo yanapokuwa magumu kwasababu ya uzembe una…
-
January 31, 2020
524; HEKIMA: Panda Mti
Katika kutafakari sana siku ya leo juu ya Maisha yetu hapa duniani, nimekutana na jambo hili la ajabu sana. Nasikia kabisa Mungu anasema nikwambie, nizungumze na…
-
January 29, 2020
523; HEKIMA: Uzima Ni Fursa
Kuna mtu yupo hospitali anamlilia Mungu ampe uzima ulionao, halafu wewe ni mzima na unakata tamaa. Jacob Mushi Unapotaka kukata tamaa kumbuka kwamba kuna watu ambao…
-
January 27, 2020
522; HEKIMA: Kabla Hujakata Tamaa
Jaribu Tena, ndio nasema jaribu tena bila kujalisha umeshajaribu mara ngapi. Jaribu tena ukiwa na uhakika kwamba kuna jipya ulilojifunza kichwani kwako. Jaribu tena bila ya…
-
January 20, 2020
521; HEKIMA: Serikali Yako Ina Sheria na Taratibu?
Kila serikali huendeshwa kwa sheria na taratibu mbalimbali ambazo huwezesha watu kuishi kwa pamoja na kupunguza matatizo mbalimbali. Nimejiuliza kama mpaka sasa kungekuwa haku…
-
January 19, 2020
520; HEKIMA: Kwanini Wengine Wanashinda?
Ni kwasababu wameamua kulipa gharama, Ni Kwasababu wameamua kujitoa kwa kila namna, Ni kwasababu wameamua na wapo tayari kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza. Ni…
-
January 17, 2020
519; #HEKIMA Hii ndio Sababu ya Kupoteza Furaha.
“It isn’t what you have or who you are or where you are or what you are doing that makes you happy or unhappy. It is…
