USIISHIE NJIANI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
January 13, 2018
KWANINI BINADAMU HATUWEZI KUFANANA KIFIKRA?
Maisha yako ni shule ambayo wengine watakuja kujifunza siku sio nyingi. Ulivyoishi maisha yako ndio itaamua uwe shule ya watu wengi kiasi gani. Kila ambacho unakifanya…
-
January 6, 2018
Jifunze Kwa Mtoto
Kuna nyakati kwenye maisha tunapitia hali ambazo zinatulazimisha kufanya mambo tusiyohitaji ila ni kwasababu tunaisikiliza mili yetu. Sio kila hali ambayo unaisikia kwenye mwi…
-
January 2, 2018
Msamiati Huu Unatakiwa Uufute Kichwani Ili uweze Kutoka.
Kuna wimbo ambao umekuwa unaimbwa na watu wengi sana hasa linapokuja swali ni kwanini hujaweza kuanza biashara au kile ambacho unataka kufanya. Wimbo huu umekuwa ndio…
-
January 1, 2018
Ni Nini CHanzo cha Ndoto Zako?
Heri ya Mwaka Mpya Rafiki, Wakati tumeanza leo mwaka mpya napenda ujiulize swali moja la muhimu sana. Je ni nini chanzo cha ndoto zako? Unafahamu ndoto…
-
December 31, 2017
WEWE NI NYOTA.
“Wewe ni nyota popote pale ulipo hakikisha unang’ara” Jacob Mushi 2018. Mwaka huu haijalishi upo sehemu gani unafanya kazi ya aina gani bado unahitajika kuonyesha kile…
-
December 30, 2017
Unapanda Mbegu Gani?
Maneno yetu tunayosema mbele za watu ni mbegu, ipo siku yataleta matokeo. Vile unavyozungumza mbele za watu ndivyo watu wanatafsiri kuwa uko hivyo. Kama maneno ni…
-
December 29, 2017
Subiri lakini Jiandae..
Unatakiwa kuwa na subira ili wakati wa kufanikiwa kwako huku ukijiandaa kupokea yale mafanikio yako. Umejiandaa kwa kiasi gani? Uko tayari kubeba kiwango gani? Makwazo na…
-
December 27, 2017
Hii Ndio Dhambi Mpya Hutakiwi Kuitenda Mwaka 2018.
Wakati tumebakiwa na siku tatu pekee tufikie mwaka mpya 2018 nimeona nikueleze juu ya dhambi hii mpya ambayo unatakiwa usiitende kabisa kwenye Maisha yako kuanzia mwaka…
-
December 27, 2017
HATUA YA 288: Upo Tayari?
Unachokifanya sasa hivi kama kinatoka ndani ya moyo wako upo tayari kukifanya hadi unakufa hata kama hutapata chochote? Hili limekuwa ni swali moja gumu sana kujua…
-
December 27, 2017
JINSI YA KUJIJENGEA TABIA YA KUWA MSOMAJI WA VITABU KILA SIKU.
Habari za leo Rafiki yangu na msomaji wa mtandao wa USIISHIE NJIANI? Ni matumaini yangu kuwa bado hujaishia njiani kwenye safari yako ya mafanikio. Kila siku…
-
December 26, 2017
HAPA NDIPO UNAKOSEA KUHUSU JANA YAKO.
Habari Rafiki, karibu kwenye somo letu la leo ndani ya mtandao huu. Kuna kitu unakwenda kujifunza leo kwenye mtandao huu. Unajua siku ikishapita imepita lakini kuna…
-
December 25, 2017
TUNAKUTAKIA SIKU KUU NJEMA na UJUMBE MAALUMU KWAKO.
Habari za leo Rafiki yetu mpendwa. Ni matumaini yangu kwamba umeanza vyema siku kuu yak o leo. Sisi kwa pamoja kama uongozi wa USIISHIE NJIANI tunakutakia…
