USIISHIE NJIANI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
February 7, 2018
Umetengeneza au Umeruhusu wewe mwenyewe.
Kabla hujaanza kusoma Makala hii naomba ujiulize swali hili, yale mambo ulikuwa unasemaga nitafanya kesho umeshayafanyaga hata japo nusu yake? Najua jibu la wengi ni hapana.…
-
February 7, 2018
HATUA YA 291: Fikra Chanya, Matendo Chanya.
Your Positive Action Combined with Positive Thinking Results in Success. – Shiv Khera Matendo yako chanya yakijumuishwa na mawazo yako chanya yanaleta matokeo kwenye maf…
-
February 7, 2018
Mbinu Hii Itakuwezesha Upate Chochote Unachokitaka.
Kuna rafiki yangu mmoja nilikutana nae akaniambie “nyie mnaandika mbinu za mafanikio lakini hakunaga mbinu mpya zote ni zile zile tu.” Kitu cha kushangaza ni kwamba mtu…
-
February 6, 2018
Usisubirie Tukio Tengeneza Tukio.
Hutaweza kufikia kamwe ndoto zako kama wewe ni mtu ambaye unasubiria tukio Fulani litokee ndipo uchukue hatua. Kama Maisha yako yatakuwa yanaendeshwa na matukio bila ya…
-
February 6, 2018
Maisha yako ni Tabia Zako.
Maisha yako ni vile vitu ambavyo unavifanya kila siku ana kwa kuvifanya kila siku vinakwenda kuwa tabia yako. Muunganiko wa tabia zako unatengeneza kitu kinaitwa mfumo…
-
February 6, 2018
Ukiteseka Duniani Utakwenda Kufurahi Mbinguni?
Inawezekana umekuwa na fikra hizi potofu kwamba ukiishi duniani maisha yenye dhiki, machozi na mateso kila siku basi utakwenda kuishi Maisha ya raha kule mbinguni. Ukweli…
-
February 2, 2018
Usiwe na Tabia za Maji.
Maji hayana umbo wala rangi, ukiyaweka kwenye chombo chochote kile yatachukua rangi ya chombo na umbo la chombo. Ukiyamwaga chini yatachukua vilevile rangi ya pale uliyoyamwag…
-
February 2, 2018
Unajisogeza Kwenye Shimo…
Mafanikio hayamtaki mtu mvivu, mtu mzembe, anaeahirisha mambo, anaetazama Zaidi kule alipotoka kuliko anapokwenda. Mafanikio yanamtaka mtu ambaye ameamua kutoka moyoni mwake k…
-
February 1, 2018
JINSI YA KUISHINDA TABIA YA KUISHIA NJIANI KWENYE MAISHA YAKO.
Tabia ya kufanya jambo kidogo kisha ukaona hakuna matokeo na ukakata tamaa na kwenda kukimbilia kufanya jambo jingine inaweza kuwa sababu ya wewe kutokutimiza chochote kwenye…
-
February 1, 2018
Usiliweke Moyoni Jambo Hili..
Unawajibika kwa kila hali inayoendelea kwenye Maisha yako. Lolote linalotokea kwenye Maisha yako wewe unahusika kwa asilimia mia moja kabla hujatupa lawama kwa mwingine yeyote…
-
January 27, 2018
Jinsi Ambavyo Kuchelewa Kufanya Maamuzi Kunavyoweza Kukuongezea Ugumu Wa Kufanya Maamuzi.
Katika mambo ambayo yanaweza kuwa sababu ya kila mtu mwenye mafanikio kufika pale alipo ni tabia hii ya kufanya maamuzi kwa wakati. Kama umeambiwa tafiti zinasema…
-
January 18, 2018
UnaPata Muda wa Kukaa na Kuongea na Wewe?
“Vile nilivyojieleza kwako kuhusu mimi mara nyingi inaweza kuwa ni vile nilivyotaka wewe unifahamu mimi lakini inaweza kuwa mimi halisi sio huyo niliekuelezea.” Jacob Mushi Tu…
