USIISHIE NJIANI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
December 20, 2017
NILICHOJIFUNZA KWENYE MAISHA YA WENGINE MWAKA 2017. (SEHEMU YA 1)
Moja ya jukumu kubwa nililojipa kwa mwaka huu 2017 ilikuwa ni kujifunza kwenye Maisha yaw engine, na hapa ni kuona namna gani wanavyoendesha Maisha yao kuanzia…
-
December 18, 2017
USIRUDIE TENA AU USIJARIBU KOSA HILI MWAKA 2018
Katika Maisha tunakutana na watu ambao wanaweza kuwa baraka sana kwenye Maisha yetu hadi tukajisahau kwamba kuna siku wataondoka. Ninaposema kuondoka simaanishi kufa namaanish…
-
October 31, 2017
HATUA YA 269: Huhitaji Kikubwa Sana.
Mara nyingi tunafikiri ili ufikie hatua kubwa kwenye maisha lazima uanze na mwanzo ambao ni mkubwa sana. Usifikiri kwamba ukiwa na vitu Fulani na Fulani basi…
-
October 29, 2017
HATUA YA 268: Swali La Kujiuliza Unapojua Unachokitaka.
Kujua kile unachokitaka ni jambo la kwanza, kinachofuata ni kufahamu gharama ambazo unapaswa kulipa ili kufika pale unapotaka. Wengi wanaishia kwenye kujua wanachotaka na kuka…
-
October 28, 2017
HATUA YA 267: Nipo Hapa tangu 96!
Siku moja nikiwa maeneo ya stand nikakutana na watu wawili wakigombania Tsh elfu mbili mmoja katika hasira sana akamwambia mwenzake wewe mbona unakuwa kama umekuja stand…
-
October 27, 2017
HATUA YA 266: Hili Ndio Bomu Unalojitengenezea Kila Siku.
Katika Maisha vipo vitu vingi tunafanya mara nyingi ni kwa kuiga yale ambayo wengine wanafanya, mengine tunaangalia tangu zamani walikuwa wanafanya na mengine ni asili yetu…
-
October 25, 2017
HATUA YA 265: Mambo Yakufanya Ili Kuacha Tabia Mbaya yeyote.
Yafanya wasiwe na maisha bora na mojawapo ya hayo mambo ni tabia mbaya. Tabia hizi nyingi zimekuwa ni tatizo kwenye maisha ya watu kwani kuziacha imekuwa…
-
October 24, 2017
HATUA YA 264: Unakuwa Kile Unachoamini.
Unakuwa Kile unachokiamini, kuamini kunakuja kwa kupitia njia mbalimbali kwanza ni kusikia, kuona, na wakati mwingine kusoma. Tukianza na kusikia kama akili yako na ufahamu wa…
-
October 23, 2017
HATUA YA 263: Vile Usivyotaka Kuonekana.
Kuna aina Fulani ya maisha ambayo mara nyingi unapenda watu wajue kuwa unayo au unayaishi lakini katika uhalisia hauishi maisha hayo. Ni kwekli sio sawa kuonyesha…
-
October 22, 2017
BARUA MAALUMU KWA VIJANA AMBAO BADO HAWAJAOA AU KUOLEWA.
Habari za leo Rafiki, ni matumaini yangu kila mmoja anaendelea vyema kwenye Maisha yake na kupambana ili kupata matokeo bora Zaidi. Nina Imani kabisa unalifahamu kusudi…
-
October 21, 2017
HATUA YA 262: Mambo 5 yatakayokufanya Uendelee Kubakia Hapo Ulipo.
Mara nyingi unaweza kukutana na mtu anasema “Ningekuwa na Mtaji wa shilingi fulani ningefanya biashara Fulani” sasa ukimuuliza mawazo yako ni mazuri sana sasa unafikiri huo…
-
October 20, 2017
HATUA YA 261: Ni Kweli Huna Muda?
Ukiona mtu anakwambia hana muda au yuko bize sana wala usiumize kichwa sana unatakiwa ujue kwamba huyo mtu hajaamua kulipa lile jambo lako kipaumbele au hajaamua…
