USIISHIE NJIANI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
February 20, 2018
#HEKIMA YA JIONI: Kuchukua Hatua.
Hatuhitaji watu wengi wanaoweza kulielezea jambo Fulani vizuri bali tunahitaji watu wachache wanaoweza kuchukua Hatua juu ya jambo husika. Tuna upungufu wa watu wanaochukua Ha…
-
February 20, 2018
Utakula matunda ya kinywa Chako.
Maneno yako yanajenga vitu kwenye maisha yako, hata kama hutaona matokeo yake kwa muda huu ipo siku yataonekana hata ikiwa umeshasahau. Ni vyema sana kujitazama sana…
-
February 18, 2018
#HEKIMA YA JIONI: Kusudi la Mungu na Kusudi La Mwanadamu.
Mungu ametuumba na akatuleta duniani kwa makusudi yake yeye mwenyewe. Pamoja na hayo bado kuna watu ambao hawajaweza kutambua makusudi ya wao kuwepo hapa duniani. Niliwahi…
-
February 17, 2018
#HEKIMA YA JIONI: Fanya Mabadiliko ya Kudumu.
“If you want to make a permanent change, stop focusing on the size of your problems and start focusing on the size of you!” T. Harv…
-
February 15, 2018
#HEKIMA YA JIONI: Aina Mbili Za Wakatishaji Tamaa.
Unapokuwa na Ndoto kubwa na shauku ya kwenda kuitimiza kuna watu wengi sana wanaweza kujitokeza kwenye Maisha yako kama washauri na wenye maoni yao juu ya…
-
February 14, 2018
#HEKIMA YA JIONI: ISHI KWA KUJIAMINI.
Usiwaweke wengine juu kwa yale mazuri waliyonayo na wewe ukajiweka chini. Hata wewe una vitu vizuri pia ndani yako. Usijisikie vibaya kwa kuona zile zawadi zilizoko…
-
February 13, 2018
#HEKIMA YA JIONI: BADILI PICHA YAKO YA NDANI.
Vile unavyojiona ndani yako ndio kunafanya uwe mtu unaejiamini au mwoga. Kunafanya pia uwe mtu unaethubutu kuchukua Hatua au uwe mtu wa kusitasita na kuahirisha. Namna…
-
February 12, 2018
#HEKIMA YA JIONI; Dunia Haijawahi Kuwa Sawa na Haitaweza Kuwa Sawa.
Kwenye dunia hii haijawahi kutokea hata siku moja kukiwa na idadi kubwa ya watu na watu wote wakawa wanafurahi tu bila matatizo ya aina yeyote. Kuna…
-
February 9, 2018
Hiki ndio Kinachotokea Unapokuwa Mtu wa Kutoa Sababu.
Pamoja na sababu nyingi ambazo zinasababisha wewe kuendelea kubaki hapo ulipo, unapofikiri kwamba wewe huna ndugu wa kukusaidia, huna mtaji wa kutosha kuanza biashara, mazingi…
-
February 9, 2018
Kaa Mbali na Mtu Huyu na Usikubali Kuwa Kama Yeye.
Kwenye Maisha tunakutana na watu wa aina mbalimbali ambao wengine wanaweza kuwa ni marafiki na wengine wanakuwa maadui. Mojawapo ya watu ambao utakutana nao ni watu…
-
February 8, 2018
Hali Itakapokuwa Mbaya..
“Kinachokupa Matumaini na Kiburi ni hali nzuri uliyonayo sasa hivi” Bahati mbaya sana unajisahau kwamba unachokitegemea ipo siku kinaweza kuwa na ukomo. Usisubiri hali iwe mba…
-
February 8, 2018
Haijalishi Una kipaji Kizuri Kiasi gani Unahitaji Kitu Hiki.
Watu wenye mafanikio makubwa duniani, ambao tunawaona ni matajiri waliweza kugundua siri hii kubwa na ya muhimu kwa kila mtu mwenye wazo au kipaji kizuri ndani…
