USIISHIE NJIANI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
March 23, 2018
#HEKIMA YA LEO: Vidogo Vyenye Manufaa..
Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka…
-
March 23, 2018
BARUA YA WAZI KWA WOTE WANAOISHI BILA YA MZAZI MMOJA AU WOTE.
Habari Rafiki yangu, leo tena nimeandika barua hii maalumu kwa watu wote wasio na wazazi na pia wenye mzazi mmoja. Ni kwa ajili ya kukutia moyo…
-
March 23, 2018
#HEKIMA YA LEO: Kuwa Sehemu Ya Tukio.
Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka…
-
March 19, 2018
#HEKIMA YA JIONI: Mtazamo Wako ndio Unaamua Ugumu au Urahisi wa Kitu.
Mtazamo ni vile ambavyo mtu amejengewa au amejijengea maana fulani au imani fulani juu ya jambo fulani. Mtazamo waweza kutengenezwa kutokana na mazingira unayoishi vitu unavyo…
-
March 18, 2018
#HEKIMA YA JIONI: Kutazama Miguuni Ili Usijikwae Kunaweza Kukupoteza Unapoelekea
Uking’atwa na nyoka wakati mwingine ukiguswa na majani tu unaweza kushtuka na kudhani ni nyoka tena. Inapotokea umepatwa na changamoto uanatakiwa usikubali ziwe sababu ya wewe…
-
March 15, 2018
#HEKIMA YA JIONI: Kama Huna Uhakika Usiseme.
Wanadamu tumezoea kuongea sana, hasa kwa maneno tunayoyasikia kwa wengine. Ukweli ni kwamba maneno mengi ambayo tunaambiwa na wengine hatuna uhakika nayo kwa 100%. Hivyo basi…
-
March 14, 2018
#HEKIMA YA JIONI: Nafasi Iliyoachwa Wazi.
Siku zote nafasi iliyoachwa wazi ndio inatumika kwa mabaya au mazuri. Kukiwa kuna nafasi iliyoachwa wazi kwenye mahusiano inaweza kusababisha mahusiano kuvunjika endapo atatok…
-
March 6, 2018
WEWE NI MZALISHAJI AU MTUMIAJI/MLAJI?
Kwenye dunia ya sasa kuna vitu vingi sana vinazalishwa kila siku na kila wakati vinagunduliwa vipya. Kitu kimoja kinachonifurahisha zaidi ni kwamba tuna watumiaji wengi sana…
-
March 4, 2018
#HEKIMA YA JIONI: Shuka Chini.
Kuna nyakati ukitaka kupanda juu Zaidi ya wengine lazima ukubali kushuka chini. Unakubali kuonekana mtumwa kwa siku chache ili uweze kupata yale ambayo yatafanya Maisha yako…
-
March 1, 2018
#HEKIMA YA JIONI: Kama Unavyoitaka Pumzi Ndivyo Unavyotakiwa Kuyataka Mafanikio.
Kulikuwa na kijana mmoja alikuwa anataka mafanikio sana. Akamfuata Mentor wake na kumuomba amuelekeze ili na yeye aweze kufanikiwa. Mentor wake akamwambia kesho tukutane ufukw…
-
February 23, 2018
#HEKIMA YA JIONI: Jifunze kwa Mwindaji Na Mfugaji.
Maisha ya mwindaji na mfugaji yanaweza kuwa mfano mzuri sana kwenye Maisha yetu ya kila siku na kama tutaweza kuwatazama vizuri watu hawa tunaweza kujua tupo…
-
February 22, 2018
#HEKIMA YA JIONI: USIKUBALI KUWA MFUNGWA KWENYE FIKRA ZA WENGINE,
Unaweza kuwa na kila kitu ambacho wengine kwa nje wanaona ni kizuri lakini kumbe yote hayo ni matokeo ya mawazo ya watu wengine juu yako. Kama…
