USIISHIE NJIANI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
June 11, 2018
USIYAFANYE MAISHA YAKO KUWA MAGUMU (Sehemu ya 3)
Kokosa Vipaumbele. Hakuna Maisha ya hovyo na magumu hapa duniani kama Maisha yasiyo na vipaumbele. Rafiki yangu lazima ujue una mambo gani unatakiwa kufanya na hayo…
-
June 8, 2018
HEKIMA YA LEO: Usiyafanye Maisha Yako Kuwa Magumu (Sehemu ya 2)
Ugumu wa Maisha wa Kujitakia. Ni vizuri ukatambua kwamba ili uweze kufika viwango vya juu Zaidi ya hapo ulipo sasa hivi lazima ukubali kufanya maamuzi magumu.…
-
June 7, 2018
HEKIMA YA LEO: Usiyafanye Maisha Yako Kuwa Magumu. (Sehemu ya Kwanza)
#Ni kweli Maisha hayajawahi kuwa marahisi ila kuna sehemu unaweza kuwa unazidisha ugumu wewe mwenyewe. “Pale ambapo wewe ni Mjinga Ndipo Wengine Wanakufaidi” #Ni kweli huwezi…
-
June 6, 2018
#HEKIMA YA LEO: Kanuni ya J+F Inavyoleta Matokeo.
Habari Rafiki, siku yako umeianzaje? Unajua kwamba jinsi unavyoanza siku yako ndio na matokeo hufanana hivyo hivyo? Kama umeanza kwa kulalamika basi siku nzima inakuwa ni…
-
May 17, 2018
JAMBO HILI PEKEE NDIO LITAWAFANYA WATU WAULIZANE.
Inawezekana kwenye uko wenu familia yenu ndio mna hali duni kuliko wengine wote na hivyo kuonekana kama mnawategemea wale ambao wamewazidi. Inawezekana umefeli masomo na hujaw…
-
May 17, 2018
#HEKIMA YA LEO : Ushindi Mdogo ni Ushindi Mkubwa.
Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka…
-
May 10, 2018
HITAJI MSAADA KUTOKA KWA MUNGU PEKE YAKE
MAHALI SAHIHI PA KUPATA MSAADA WAKATI WA SHIDA AU TATIZO. Na Steven Mshiu I. Kipindi fulani niliazimia kufanya kufanya biashara fulani, na kwa kuwa ilikuwa ni…
-
May 5, 2018
Faida 5 za Kusoma Vitabu.
Ili uweze kuwa na mwili wenye afya bora lazima ule vyakula bora na kufanya mazoezi. Vilevile kwenye akili yako ni vyema ukapata maarifa ambayo yanakufanya uwe…
-
April 17, 2018
#HEKIMA YA LEO: Jambo Hili Lisikukoseshe Raha.
Kuna mambo ambayo yanaweza kukutesa na kukusumbua sana kwenye maisha yako. Kuna mengine yanakuwa mzigo mzito sana ndani yako. Kuna mahali unafika unajisikia kuchoka kabisa na…
-
April 14, 2018
#HEKIMA YA LEO: Tofauti Kukosolewa kwa Uzuri na Kukatishwa Tamaa.
Ushawahi kuona mtu amefanya jambo kwa kujiamini sana sasa katika kujiamini kwake kupita kiasi akajikuta haoni hata makossa yake. Inapotokea watu ambao wanamtazama wakamwambia…
-
April 13, 2018
Sababu kumi za kwanini unahitaji watu ili kufanikiwa maishani
Umeshawahi kuangalia mashindano yoyote? Au sherehe za ugawaji wa tunzo?/ Bai kama umewahi kuangalia kuna kitu ambacho kinajirudia kwa watu wote wanaoshinda. Huwa wanatoa insha…
-
April 11, 2018
#HEKIMA YA LEO: Kubali Kupitia Maumivu, Na Mchanganyiko.
Unajua mboga tamu ilipitia maumivu kwenye moto mkali jikoni. Ni rahisi sana kusifia utamu wa mboga bila ya kujua ni gharama gani imelipwa wakati wa kuitengeneza.…
