USIISHIE NJIANI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
December 18, 2018
Pata Zawadi ya Kitabu.
Habari Rafiki yangu, ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na Maisha. Leo nataka nikupe zawadi nzuri sana ya kitabu. Kitabu ambacho utakisoma msimu huu wa siku…
-
December 15, 2018
414; Hujachagua Kuzaliwa, Hujui Utakufa Lini, Unaweza Kimoja Tu.
Maisha ni ya ajabu sana, unazaliwa bila idhini yako mwenyewe, pengine hata wazazi wako hawakutarajia wala kupanga wewe uzaliwe. Na hata kama wakipanga hawawezi kujua kabisa…
-
December 14, 2018
413; Huwezi Kutatua Usichokifahamu.
Mimi ni fundi wa kompyuta, inapotokea kompyuta ninayotumia imezima ghafla siwezi kukimbilia kwenda kubadili ule mfumo unaoendesha kompyuta nzima (windows). Hiyo inaweza kuwa n…
-
November 18, 2018
Ni wewe Mwenyewe Umechagua 18/11/2018.
“Mwaka 2016 tulikuwa kwenye msiba wa jirani yetu ambaye alifiwa na mama yake. Siku hiyo watu walikuwa wanalia sana na kusikitika kwa kifo kile kilichotokea. Kitu…
-
October 24, 2018
400: Hakuna AnaeKulazimisha.
Ulipokuwa mtoto kuna nyakati ulikuwa ukichelewa kuamka unakuja kuamshwa na viboko au wakati mwingine unamwagiwa maji. Kuna wakati pia ulikuwa unalazimishwa kusoma kwa bidii na…
-
October 22, 2018
398: Kuwa Mkweli Kwako Kwanza.
Unaweza kuwadanganya wengine lakini huwezi kujidanganya wewe mwenyewe. Ndani ya nafsi yako unajua ukweli ni upi. Ndani ya nafsi yako unajua kama Maisha unaigiza au ni…
-
October 12, 2018
397: Jinsi ya Kuondoa Imani Potofu Ambazo Ulijengewa Ukiwa Mtoto.
Mtu anatengenezwa katika umri wa kuzaliwa mpaka anapokuwa na miaka 7. Tabia Nyingi na Imani ambazo unazo sasa zilijengwa ulipokuwa mtoto. Na mara Nyingi Imani hizi…
-
September 30, 2018
Malengo Yako Yamefikia Wapi? Tumebakiwa na Robo Mwaka Sasa.
Habari Rafiki yangu. Utakuwa umeshtuka sana kusoma kichwa cha Makala hii, ukweli ni kwamba mwaka 2018 ndio umeisha hivyo. Tunasema imeabaki miezi miwili kwasababu mwezi wa…
-
September 29, 2018
Njia Bora Ya Kuishi Kwenye Ulimwengu Huu Wenye Masumbufu Mengi
Tupo kwenye ulimwengu ambao kama usipokuwa makini unaweza kujikuta miaka inakwenda na hakuna cha maana ambacho umekifanya katika kuitimiza Ndoto yako. Ulimwengu huu wenye masu…
-
June 23, 2018
KANUNI YA 10× INAVYOWEZA KUKUFANIKISHA KWENYE MAONO YAKO.
Unafahamu pamoja na kuwajua watu wengi sana katika Maisha yako kuna watu angalau 10 tu ambao wanaweza kuwa tayari kukuinua pale unapokuwa umeanguka chini? Mtu wa…
-
June 22, 2018
Unazijenga Tabia Kisha Tabia Zinakujenga.
Nakumbuka nimewahi kuandika mahali kwamba “Maisha yako Ni Tabia Zako” yaani vile unavyoishi kila siku ni mkusanyiko wa tabia ambazo umezitengeneza. Ni rahisi sana kutengeneza…
-
June 15, 2018
USIYAFANYE MAISHA YAKO KUWA MAGUMU 4.
Kuridhika na Mafanikio ya Jana. Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi.…
