USIISHIE NJIANI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
April 29, 2016
Kujua ni Kufanya
Hata ukisoma vitabu 100 vya kuogelea huwezi kujua kuogelea bila ya kuingia kwenye maji. Ili ujue na ufahamu vizuri changamoto zilizopo kwenye maji unatakiwa uingie kuoge…
-
April 28, 2016
Usijifananishe na wengine.
Moja wapo ya vitu vinavyofanya watu wakose furaha katika safari hii ya maisha na mafanikio ni kujifanananisha na wengine. Unakuta mtu anajiona yeye si kitu pale…
-
April 27, 2016
Tengeneza Historia Mpya.
Katika vitu ambavyo hatuwezi kuvibadili katika maisha yetu ni historia huwezi kubadili tena vile vitu ulivyowahi kuvifanya jana, juzi na miaka iliyopita. Kitu cha…
-
April 26, 2016
Ni nini kitasababisha watu walie siku ya kufa kwako?
Watu wengi huchukulia maisha ni kitu cha kawaida sana mpaka wanaamua kuishi kula, kuzaa na kusubiria siku ya kufa basi. Ukweli ni kwamba kama ulikua unawaza…
-
April 25, 2016
Ni nini kinakufanya wewe ufanye kazi kwa bidii?
Katika maisha yetu kila siku tuna watu wanaofanya kazi kwa bidii sana kila siku kwenye ajira zao, kwenye biiashara zao, kwenye vipaji vyao na kadhalika. Kitu…
-
April 24, 2016
MAMBO YA MUHIMU KUTAZAMA ILI TUWEZE KUONA MWANGAZA WA MAFANIKIO KILA WAKATI
Tangaza msamaha Tangaza msamaha kwa waliokutendea mabaya yeyote kwenye maisha yako.Ulitelekezwa ukiwa mtoto mdogo tangaza msamaha leo. Uliumizwa na mpenzi wako uliempenda sana…
-
April 23, 2016
Vitu 7 vya muhimu kufahamu ili uweze kusonga mbele.
Kuna vitu saba vya muhimu ambavyo ni lazima uvijue ili uweze kuanza kusonga mbele kimaisha. Ukiweza kuvichukua na kuingiza kwenye maisha yako utaona matokeo yake. 1.ELIM…
-
April 22, 2016
Fanya tena
Matokeo ya kile unachokifanya yanaweza yasitokee kama ulivyotarajia au kupanga haimaanishi kwamba unachokifanya sio sahihi. Kuna kua na sababu nyingi za kile ulichofanya…
-
April 21, 2016
Unawezaje kubadili hali uliyonayo sasa hivi?
Kabla hujaanza kubadili chochote lazima ufahamu chanzo cha hali uliyonayo kimesababishwa na nini. Ukweli ni kwamba mfumo wako wa maisha unajengwa na mambo haya yafuatayo…
-
April 20, 2016
Fanya maamuzi.
Tatizo kubwa tulilonalo hapa nchini sio pesa. Tatizo kubwa tuna watu wengi ambao ni waoga kufanya maamuzi. Mtu anakutana na fursa nyingi anahamasika Lakini tatizo lipo…
-
April 20, 2016
Piga Hatua Nyingine
Habari za leo rafiki yangu mpendwa ni furaha yangu kuona wewe ni mzima na umeweza kusoma ujumbe huu leo. Karibu sana. Katika maisha jambo linaloleta furaha…
-
April 19, 2016
Sifa za watu waliofanikiwa. (1)
Kama tunavyofahamu kwamba kila kitu kilichopo ndani ya maisha ya mtu ni matokeo ya vitu alivyokua akivifanya huko nyuma, yaani kama una afya mbovu, kuna uzembe…
