USIISHIE NJIANI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
May 12, 2016
Linda ndoto yako:
Mojawapo ya vitu ambavyo huwarudisha nyuma na kuwafanya wakate tamaa haraka ni kukosa ndoto au kukata tamaa kwenye ndoto zao. Ndoto ni nini? Ndoto ninayoizungumzia sio…
-
May 11, 2016
Ushindi ni lazima kwako amua hivyo na anza kupambana.
Haijalishi unapitia hali gani sasa hivi wewe ni mshindi vita bado haijaisha mapambano bado hayajaisha endelea kupambana mpaka mwisho. Haijalishi umelala njaa jana sio mwisho…
-
May 10, 2016
Jinsi ya Kuishinda Tabia ya Kuahirisha mambo.
Tabia moja ambayo inawarudisha wengi nyuma ni tabia ya kuahirisha mambo. Na kuahirisha ipo karibia kila sehemu kuajiriwa, kujiajiri, mambo yako binafsi, karibia kila mahali ta…
-
May 9, 2016
Tunaiona Dunia Jinsi tulivyo sisi na sio jinsi Ilivyo:
Tumekua na tabia ya kulalamika na kulaumu sana kwamba dunia ni mbaya, maisha ni magumu, Hali ni mbaya lakini ukweli ni kwamba wakati wewe unalalamika na…
-
May 8, 2016
Chagua kulipa gharama sasa hivi au uje ulipe baadae
Kwenye maisha yako chochote kinachoendelea sasa hivi kilisababishwa na mambo uliyoyafanya huko nyuma. Yawe mabaya au mazuri unahusika kwa kiasi kikubwa kwa kinachoendele…
-
May 7, 2016
Upo tayari kupoteza ulivyonavyo upate vingine?
Rafiki yangu mpendwa ni kwamba kwa chochote kizuri unachokitaka kwenye hii dunia lazima ulipe gharama, kwenye gharama watu hua wanakimbia. Ukitaka mafanikio makubwa kuna vitu…
-
May 6, 2016
Mtu pekee na wa kwanza unaeweza kumbadili hapa duniani ni wewe.
Mara nyingi tunakua tunatamani watu fulani wabadilike wawe katika hali fulani tunazozitaka sisi. Ukweli ni kwamba huwezi kumbadili mtu ila mtu anaamua kubadilika mwenyewe. Mtu…
-
May 5, 2016
Jiulize maswali haya kwenye chochote unachokifanya ili uongeze ubora.
Habari za leo rafiki yangu mpendwa ni furaha yangu kuona wewe ni mzima na umeweza kusoma ujumbe huu leo. Leo tunakwenda kuona juu vitu vya muhimu kujiuliza…
-
May 4, 2016
Ukuaji wako ni sehemu kuu tatu.
Mwanadamu anaongozwa na sehemu kuu tatu katika maisha yake na sehemu moja ikiwa na matatizo maisha yake yote yanaweza kuharibika. Sehemu hizi tatu lazima uzingatie ukuaji…
-
May 3, 2016
Unaujua mchango wa marafiki kwenye maisha yako?
Marafiki ulio nao wanachangia kwa kiasi kikubwa juu ya tabia yako, mapato, na pia baadae yako. Kama kuna kitu cha muhimu cha kuchunga na kua makini…
-
May 2, 2016
Kile unachokipanda utavuna.
Ni mara nyingi tumekuwa tunasikia usemi huu “kile apandacho mtu ndicho atakacho kivuna” ukweli ni huo lakini wengi hatuuchukulii usemi huu kwa makini. Wengi…
-
May 1, 2016
Chukua Hatua Ubadili Maisha yako.
Maisha yako hayatabadilika kwa kufikiri chanya peke yake, maisha yako hayatabadilika kwa kufikiri nje ya box peke yake. Maisha yako yataanza kubadilika pale tu utakapoan…
