USIISHIE NJIANI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
April 18, 2016
Ona Kila unachokutana nacho kama fursa.
Tanakutana na vitu vingi sana katika maisha yetu ya kila siku, tunakutana na changamoto mbali mbali kwenye kila tunachokifanya. Watu wengi wanapopitia matatizo wanaishia kulal…
-
April 17, 2016
Jinsi ya Kukuza Biashara yako.
Habari za Jumapili ndugu msomaji wetu. Leo tutakwenda kuona ni jinsi gani unavyoweza kutengeneza wateja kwenye mtandao wako wa blog au mitandao ya kijamii. Kama kawaida…
-
April 16, 2016
Kukubaliwa na Kupingwa
Mara nyingi tumekua tukifurahi sana pale tunapowaeleza watu juu ya vitu tunavyoviwaza kama binadamu hua anapata hamasa pale anapomueleza kitu mtu na akakikubali bila kuk…
-
April 15, 2016
Kila Jambo na wakati wake.
Mwisho wa kila tunachokipigania hapa duniani ni kifo, watu wengi wanafikiri kuna siku itafika sasa aanze kupumzika na kufurahia maisha ukweli ni kwamba usipofurahia maisha sas…
-
April 14, 2016
Kuku, Kunguru na Tai.
Ukiona tai na kuku wapo pamoja wanatafuta chakula ujue tayari tai ameshapoteza mwelekeo. Mwanamafanikio mwenzangu ni kwamba kuku hana msaada wowote kwako juu ya kupaa kwako…
-
April 13, 2016
Ukweli ni huu Usijidanganye.
Zichukulie pande zote ni sawa. Wakati mwingine hua tunajidanganya wenyewe kwa kukataa kuambiwa ukweli. Umeanza biashara unataka kila unaemueleza akwambie nenda kafanye ni wazo…
-
April 12, 2016
FANYA HAYA USONGE MBELE KIBIASHARA
Unapohamia kwenye jengo jipya tunaweza kusema biashara yako imekua lakini ukweli halisi sio huo, biashara haikui kwa wewe kuhamia kwenye jengo kubwa au kubadili usafiri.…
-
April 11, 2016
Ifanye biashara yako iwe ya kiteknolojia.
Habari ndugu msomaji wetu ni wakati mwingine wa kupeana mbinu nzuri juu ya kuboresha biashara zetu kwa njia ya mtandao, leo tunaangalia jinsi ya kubadili biashra…
-
April 9, 2016
Tumia Mtandao wa internet kukuza biashara yako.
Habari ndugu msomaji na mjasiriamali, ni wakati mwingine tena katika mtandao huu wa MoJa Group tunapokuletea Makala za mafunzo juu ya kutumia mtandao wa internet uweze…
-
August 31, 2015
Hatuna usalama
Sitaacha kuirudia kila wakati hii sana… Tunatafuta pesa kwa bidii sana, tunatengeza na kugundua vitu vizuri sana ili tuache alama duniani lakini tunasahau kutengeneza wa…
-
June 22, 2015
Fungua hizi njia kwanza ndio utaweza kupita
Fungua hizi njia kwanza ndio utaweza kupita Tangaza msamaha Tangaza msamaha kwa waliokutendea mabaya yeyote kwenye maisha yako.Ulitelekezwa ukiwa mtoto mdogo tangaza msamaha l…
-
June 21, 2015
Maisha ni mafupi sana:
Habari za leo ndugu msomaji wetu leo tunaendelea na makala zetu karibu sana na samahani kwa kutokuwekwa kwa makala kwa siku kadhaa. Maisha ni mafupi sana…
