USIISHIE NJIANI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
June 8, 2016
#SiriYaKuaHaiLeo: 2.Upo hai ili kubariki wengine.
Upo hai leo ili ubariki wengine usikubali kua mtu wa makwazo juu ya wengine. Usikubali kua mkosoaji kwa kila kitu mtu anachokifanya bali jaribu kua mshauri…
-
May 28, 2016
Kijana una Fursa za kipekee sana. Muda, Nguvu, na Uwezo wa kufikiri.
Habari za leo ndugu msomaji wa makala hizi. Jana nimepokea ujumbe kutoka kwa rafiki yetu ambaye hua anasoma makala hizi kila siku. Akaniomba niandike kuhusu vijana.…
-
May 27, 2016
Upo hai ili kulitimiza Kusudi.
Kusudi ni nini?Kusudi ni ile sababu hasa ya kitu kuwepo. Bila Kusudi kuwepo kwa kitu hakuna maana. Kitu cha kwanza cha kutambua kwenye maisha yako ni…
-
May 22, 2016
Una kitu kikubwa sana ndani yako.
Una uwezo mkubwa sana ndani yako, haijalishi upo kwenye haali gani sasa hivi. Una uwezo wa kufanya mambo makubwa sana, haijalishi huna nini sasa hivi. Una…
-
May 20, 2016
Wafanyie wengine yale unayopenda kufanyiwa.
Kwenye maisha tuna watu wa aina mbalimbali na wenye tabia tofauti tofauti. Ukiweza kukaa na watu unaweza kujifunza mambo mengi sana kwenye maisha wanayoyaishi. Nimekutana na…
-
May 19, 2016
Hatua za kuchukua kila siku ili kufikia ndoto na malengo yako.
Tumejifunza kuhusu mafanikio na utajiri lakini hivi havitatokea kama huna vitu ambavyo unavifanya kila siku vinavyokuvuta kwenye mafanikio na utajiri. Leo tunakwend kuangalia…
-
May 18, 2016
Hatua 7 za kujiletea mafanikio na kufikia utajiri.
Habari za leo rafiki yangu unaendelea vyema na mapambano ya maisha? Leo tunakwenda kujifunza Hatua mbalimbali za kuleta mafanikio katika maisha yetu na hadi kufikia utajiri.…
-
May 17, 2016
Chagua Kulalamika/Kulaumu au Kuchukua Hatua.
Kwenye jambo lolote baya linalotokea kwenye maisha yako unaweza kuchagua kulalamika au Kuchukua Hatua. Unaweza kuchagua wa kumlaumu, unaweza kujieleza sana jinsi ulivyo sahihi…
-
May 16, 2016
Nguvu ya maamuzi tuliyonayo na inayoamua juu ya maisha yetu.
Kila mwanadamu ana maamuzi ya mwisho juu chochote anachokiwaza na maamuzi anayoyachukua. Yaani kama umeamua kuamka saa kumi na moja ni wewe mwenyewe unaamua kutokuamka au…
-
May 15, 2016
Umechagua Nini?
Kila kitu kina kinyume chake hapa duniani, kila kitu kina pande mbili wewe umechagua upande upi? Umechagua kua wapi? Kuna Umaskini na Utajiri, kuna furaha na…
-
May 14, 2016
#Kukosea #Hasara #Changamoto.
Watu wengi tumekuwa tu nataka vitu ambavyo tutafanya tupate matokeo bora peke yake tu. Kama ni biashara mtu atataka biashara isiyo na hasara yaani yeye tokea…
-
May 13, 2016
#Hujamaliza Kazi.
Kila kitu kina sababu ya kuwepo kwake duniani mpaka leo. Wewe pia uko duniani kwa sababu hauko duniani kwa bahati mbaya. Weqw kupumua leo ni sababu…
